Ki vp bibi? Kwani hayo mazingira ni ya kwako? Em tuelekeze basi vijana tukale ujana
kigamboni! sema ya kiswaz mbaaya! ukiweka nguo zako vibaya unaeza ukaenda home na kichup chako cha kuogelea .......... njoo nikupeleke?
Mmmh pmUmeona eeh! Tangulia Pm naja..
wewe nenda yeyote mpaka upelekwe kwani we kipofuWadau wa JF wakazi wa Dar
Nisaidien jamani, nataka kujua beach gani kwa Dar n nzuri kuliko zote, toka nizaliwe nimekua sina interest na kwenda Beach,
So nimejikia kutaman sana bahada ya mke wangu kuniomba cku nying kwenda nae beach,
Nataka nmfanyie suprice J2, nishaurin niende beach gan ili tukahave much fun,
Thanks in advance
Mbweni beach unaweza kurudi umehemea mafuta ya kupika
ha ha ha! Ndo beach yako mkuu eeh!
Kama unataka to have fun, all alone with your wife, njoo beach iliyo karibu na kijijini kwetu, inaitwa Boza Beach, hakuna hoteli hapo, hakuna watu kupita pita hovyo, hakuna majumba karibu, its safe, quite and secluded for now. Carry your picnic gear. Uta enjoy sana.
Its around 65KM from Dar.
Ni moja katika beach nzuri sana Tanzania.
umeona eeh!
Faiza uko sahihi, lakini kutoka Shungubweni pale kwenda Boza usafiri vipi, nazungumzia barabara, imerekebishwa au bado ? Kama kuna njia nyingine niambie.
Kwa beach safi na salama, Boza the best.Bado natural kabisa.