Upande upi sasa kwa Dar unaelekeza kama mmasai.Huko Boza kama unaelekea Bagamoyo au kigamboni?Mwelekeze vzr wengine pia tupajue.Kama unataka to have fun, all alone with your wife, njoo beach iliyo karibu na kijijini kwetu, inaitwa Boza Beach, hakuna hoteli hapo, hakuna watu kupita pita hovyo, hakuna majumba karibu, its safe, quite and secluded for now. Carry your picnic gear. Uta enjoy sana.
Its around 65KM from Dar.
Ni moja katika beach nzuri sana Tanzania.
Km 65? Si siku nzima kusafiri?
Siku nzima ki vp mzee? Km 65 si km dar 2 bagamoyo tu
Kusafiri ni saa moja mpaka matatu kutoka katikati ya jiji, inategemea na muda ulioondoka na msongamano uliopo.
Normally siku za weekend ukiondoka kabla ya saa mbili asubuhi, inakuchukuwa saa moja mpaka moja na nusu maximum.
Siku za week days ndio utahenya kidogo na msongamano mpaka ukishatoka nje ya mji, itakuchukuwa masaa mawili mpaka matatu kufika.
Lakini samahani sana, siwaambii ni wapi, mtapachafua. Wacha mpajue wenyewe kwa bahati mbaya.
Haaaaaa, ilo pia wazo, ka vip j2 twende nkapate na ujuz wa beach, afu wife ntamsuprise next tim
Coco beach
south beach kumetulia kiasi chake
Nilijua upo single, ningekupeleka nikuonyeshe beach nzur...
Binafsi napapenda...na nikienda siboreki
Wadau wa JF wakazi wa Dar
Nisaidien jamani, nataka kujua beach gani kwa Dar n nzuri kuliko zote, toka nizaliwe nimekua sina interest na kwenda Beach,
So nimejikia kutaman sana bahada ya mke wangu kuniomba cku nying kwenda nae beach,
Nataka nmfanyie suprice J2, nishaurin niende beach gan ili tukahave much fun,
Thanks in advance
mie pia ni pazuri
nimewah kulala kwenye zile tents...
Ewe punguani, Pangani ni 65KM kutoka Dar.? Soma vizuri kabla hujakurupuka.
Hii mijitu mingine sijui ikoje! halafu atakwambia anaishi Dar., hata Boza Beach, haijui, huko wakuja hawapajui. Kumbuka hilo.
mie pia ni pazuri
nimewah kulala kwenye zile tents...
Daaarh...rahajee,mi penda pia kucheza,kuogelea sana,sitamani kutoka kwenye maji
Mtachafua mazingira na mazingara.