Happy Valentine all,
Poleni na mzunguko wa maisha wa miaka nenda miaka rudi.
Naomba kuwasilisha swala lifuatalo.......Huu sio utani ni swala muhimu sana.
Kuna kijana ni tapeli wa mapenzi/muongo sana yuko hapa JF na huwa ana ID nyingi sana. Huyu kaka amekuwa akitumia kigezo cha kufiwa na mchumba wake kama kigezo cha kupata huruma ya wadada na hivyo kuwarubuni kimapenzi. Sio kweli kwamba amefiwa na mchumba, ukweli ni kwamba ameoa na ana familia yake (mke tena mzuri tu na watoto wawili). Ni mtu ambae basi tu anapenda tabia ya udanganyifu online kwa warembo mbalimbali hadi kufikia hatua ya kuwa kwenye mahusiano. Ni mkazi wa mikoa ya kaskazini.
Yakikufika ya kukufika usije sema hukuambiwa, kuweni makini sana na hawa the so called online lovers, friends n.k. Wengi wao sio, wengi wao ni waongo tu wanaojaribu kucheza na psychology za watu.
Asanteni.
Wait....ina maana mtu akifiwa na mchumba/mke wake huwa mnamuhurumia?! Hakika Mwenyezi Mungu wanawake kawaumba kwa namna ya kipekee !! Wakati dume likikuta mwanamke aliyefiwa linaamua ku-take advantage(opportunism) wenzetu mnaamua kuwa na huruma na mfiwa na hivyo kuwa tayari kumfariji! Hakika kwa hili basi yeyote anayewachukiza basi huyo anapaswa kulaaniwa
Hakuambiwa alikuja kugundua mwenyewe tena the hard way, the good thing is that she has decided to warn her colleagues. Wadada siyo kila kingaacho ni DHAHABU!
Utamu wa sound umjue kwanza demu anapenda mambo gani ndo utampeleka peleka vizuri, kama humjui kihiivo kama hawa hapa mtandaoni zuga tu kuwa una mkwanja wa kueleweka, lazima utapata tu appointment nyingi humu. Kama huna gari, azima au kodisha kabisa siku ukienda kukutana nae mara ya kwanza! Kikieleweka mzigo unaenda kulia kwenye gheto la yule nduguyo anayefanya TRA na demu ajue ndo kwako!Ukishakula mzigo unaibuka kwa daladala, akikuuliza gari unamuambia lipo garage au limeibiwa!!Mkuu, mimi kila nikipiga sound wananikaushia, najiuliza sijui nitumie na mimi hiyo technic, nahitaji kimwana wa JF.
Watoto wa kike mmekuwa wepesi yani kwenye mtandao unatongozwa na unalika bila tabu!pole yenu...alafu unaanza kuumia kumbe ulitaka mwenyewe kuwa digitali...analogia mnawaona washamba..kumbe nyie ndo washamba mkifika elimu za juu ndo mnajiona mpo juu,kumbe hamna lolote mnataka maisha yawe marahisi...kazi kudandia waume za watu bila kutafakari...na viboifrend vyenu vya chuo kudandia wake za watu...mtaumia shauri yenu...fateni yaliyowapeleka shule!na muendelee na wale mliokuwa nao kuanzia elimu ya sekondari...sio kujifanya mmefika elimu ya juu alafu unamuona hana future na wew..p.mb.f. Zenyuuu..sh...nnnnzzz....kabisa nyamazenu...azabu yenu ni hapa hapa duniani..mtaliwa na watu thru mitandao mpaka mjute..na mpaka mtakapo amua kubadili tabia zenu..kazi kupenda wanaaume wanaofanya kazi kule porini...sijui afugem,tanzaniteone..nk!kaeni msome,wazazi wenu wanajua mnasoma sio kuuza na kutafuta umaarufu na wanaume!karibu tena....
Ahaa, shukrani mkuu kwa kuniongezea hizo maujanja, ngoja nivizie love connect.Utamu wa sound umjue kwanza demu anapenda mambo gani ndo utampeleka peleka vizuri, kama humjui kihiivo kama hawa hapa mtandaoni zuga tu kuwa una mkwanja wa kueleweka, lazima utapata tu appointment nyingi humu. Kama huna gari, azima au kodisha kabisa siku ukienda kukutana nae mara ya kwanza! Kikieleweka mzigo unaenda kulia kwenye gheto la yule nduguyo anayefanya TRA na demu ajue ndo kwako!Ukishakula mzigo unaibuka kwa daladala, akikuuliza gari unamuambia lipo garage au limeibiwa!!
utawapata watoto wa chuo au sec.siku hizi hao wadada wenyewe ni wajanja vile vile,wewe unamuongopea na yeye anakuongopeaUtamu wa sound umjue kwanza demu anapenda mambo gani ndo utampeleka peleka vizuri, kama humjui kihiivo kama hawa hapa mtandaoni zuga tu kuwa una mkwanja wa kueleweka, lazima utapata tu appointment nyingi humu. Kama huna gari, azima au kodisha kabisa siku ukienda kukutana nae mara ya kwanza! Kikieleweka mzigo unaenda kulia kwenye gheto la yule nduguyo anayefanya TRA na demu ajue ndo kwako!Ukishakula mzigo unaibuka kwa daladala, akikuuliza gari unamuambia lipo garage au limeibiwa!!
Kaka umeongea kwa uchungu, hard to discard the possibility that you take this too personal.
Kweli amtaje kwani si kasema ana majina mengi? Kwa hiyo anamfahamu. Kama ana UPENDO wa kweli kwa akina dada humu JF taja majina yake wamtambue. Rafiki mzuri ni yule akuambiae UKWELI japo unauma.mtaje basi, tutamjuaje?
Happy Valentine all,
Poleni na mzunguko wa maisha wa miaka nenda miaka rudi.
Naomba kuwasilisha swala lifuatalo.......Huu sio utani ni swala muhimu sana.
Kuna kijana ni tapeli wa mapenzi/muongo sana yuko hapa JF na huwa ana ID nyingi sana. Huyu kaka amekuwa akitumia kigezo cha kufiwa na mchumba wake kama kigezo cha kupata huruma ya wadada na hivyo kuwarubuni kimapenzi. Sio kweli kwamba amefiwa na mchumba, ukweli ni kwamba ameoa na ana familia yake (mke tena mzuri tu na watoto wawili). Ni mtu ambae basi tu anapenda tabia ya udanganyifu online kwa warembo mbalimbali hadi kufikia hatua ya kuwa kwenye mahusiano. Ni mkazi wa mikoa ya kaskazini.
Yakikufika ya kukufika usije sema hukuambiwa, kuweni makini sana na hawa the so called online lovers, friends n.k. Wengi wao sio, wengi wao ni waongo tu wanaojaribu kucheza na psychology za watu.
Asanteni.
general, hebu tupe wengine hatuko sana love connect
Kweli amtaje kwani si kasema ana majina mengi? Kwa hiyo anamfahamu. Kama ana UPENDO wa kweli kwa akina dada humu JF taja majina yake wamtambue. Rafiki mzuri ni yule akuambiae UKWELI japo unauma.
heh! Kafanye homework yako bwana! Usinifanye nikaitwa mdaku!
This is for jf ladies! Jamani mapenzi ya voda fasta hakunaga! Mfahamu mtu mtandaoni, take your time kumjua na ujue walau familia na marafiki. Tatizo letu uchumba wa siku hizi unatoka pm, unaingia simu, unamalizikia gesti hausi. Kuweni na kiherehere kama magelofrendi wa diamond. Kabla hajatamja unapiga mapicha na mamake mzazi unaji-blogg! Mtatapeliwa sio hela tu. Utu na magonjwa vinahusika. Hamuogopi kuchinjwa (i watch too much criminal investigations, lol)