kuna waliopata wenza humu humu kwenye mitandao......Kumuamini mtu humu kwenye mtandao yataka moyo!
Ya kweli Preta kunyonya damu tena
kuna waliopata wenza humu humu kwenye mitandao......
na siku hizi idadi inaongezeka
Duh..! Itabidi nimchunguze vizuri huyu mupenzi niliyempata humu JF, yawezekana nae akawa wale walee..!
Umakini unahitajika katika hili suala aisee..! Unaweza ukadhani umeopoa kumbe imekula kwako..!
Kumuamini mtu humu kwenye mtandao yataka moyo!
Happy Valentine all,
Poleni na mzunguko wa maisha wa miaka nenda miaka rudi.
Naomba kuwasilisha swala lifuatalo.......Huu sio utani ni swala muhimu sana.
Kuna kijana ni tapeli wa mapenzi/muongo sana yuko hapa JF na huwa ana ID nyingi sana. Huyu kaka amekuwa akitumia kigezo cha kufiwa na mchumba wake kama kigezo cha kupata huruma ya wadada na hivyo kuwarubuni kimapenzi.
Nionavyo mimi mwanaume ukutane naye mtandaoni au nje ya mtandao bado tu utahitajika kuwa makini maana mambo ni yaleyale tu kama hiyo ni tabia yake ni tabia yake tu.....
cha msingi ni kuwa makini
maana huyo wa mtandaoni si ndo huyohuyo anayeweza akakulaghai hata huko nje ya mtando
kwahiyo ni yaleyale
kuwa tu na msimamo wako iwe mtandaoni au nje ya mtandao
We nahisi kama unataka kuniharibia hapa wakati PM zangu zinaenda vizuri!! For what i know, kidunguche hivi sasa ni kama saa tisa usiku...wht ru waiting hutaki kulala?! Or u were into pair somewhere for valentine na umejikuta ukirudi peke yako baada ya mwenzako kuaga anaenda washroom na hadi sasa hajarudi?!unalalaje na lijitu hulijui vizuri tena mtandaoni aisee kinadada tuna kazi sana mbado aiseee!
We nahisi kama unataka kuniharibia hapa akati PM zangu zinaenda vizuri!! For what i know, kidunguche hivi sasa ni kama saa tisa usiku...wht ru waiting hutaki kulala?! Or u were into pair somewhere for valentine na umejikuta ukirudi peke yako baada ya mwenzako kuaga anaenda washroom na hadi sasa hajarudi?!
hahaaaa nasubiria magftee acha kabisa si unajua zamu round ya mke mdogo ndio inaisha saa hizi ndio najianda mashhtamuu asikute haba.