BE WARNED:this is for all mmu female members

Kama ni wewe vilee, lolest.

hahahaaaa... cant go even two minutes without think of my family, i cant "kill" any of them like this weak dude... regarding love connect, it is the forum i dont like and hata lingefutwa nisinge-mind, ila wakifuta la wakubwa ntaandamana hadi ikulu
 
Hahahaaaaaaa
Basi you are best father aisee hongera.
 
Inonyesha umeingizwa bongo ni wewe wala usibishe na mkome wanaume mnatafutana online? Hata huruma na wewe sina tena mkome kabisa Wanaume oyeeee wajibga ndo waliwao
 
Dena Amsi, hii comment hata haifanani na wewe.....yeye hajihurumii ila anawaasa wenzake, sasa unaonekana kama unashangilia vileee??hivi hata kama angepatwa na baya ni vizuri kushangilia baya lililompata binadam mwenzako?
 
Ntaacha aisee. Yaani niliangalia horror movie nikaota vita usiku kucha. Sijui ilikuwa genocide, manake mbo na binduki kama chizi! Nikaishia kumaka hoi!
Ha ha ha ha, vijana wanasaka ndoa hapa

Wakati wenzao tunasaka tundi tu.

Too much criminal Investigation movies are not good
 
Hehehehe! Kamanda umesema jukwaa gani likifutwa utaandamani?
Lol umenikumbusha kitu ambacho nina hakika umekisahau.
hahahaaaa... cant go even two minutes without think of my family, i cant "kill" any of them like this weak dude... regarding love connect, it is the forum i dont like and hata lingefutwa nisinge-mind, ila wakifuta la wakubwa ntaandamana hadi ikulu
 
Yani shida zoooote hizo za kufungua miIDs kibao na kusingizia na kumkana mke tatizo ni kugegeda? au anatafuta nini kingine pengine hapa kuna siri maana haiingii akilini wanawake wote hao wengine wanajiuza huko kanda ya kaskazini na aje hapa jf kutafuta mgegedo.

mengine ni ugonjwa Zion Daughter
 
Last edited by a moderator:
Dena Amsi, hii comment hata haifanani na wewe.....yeye hajihurumii ila anawaasa wenzake, sasa unaonekana kama unashangilia vileee??hivi hata kama angepatwa na baya ni vizuri kushangilia baya lililompata binadam mwenzako?
Mrembo by Nature sina huruma kwa uzembe wa kujitakia nipate vizuri sawa? Narudia nashangilia kwa ujinga kama huu waume/wanawake wamejazana mitaai yanini uende kuparamiamtu hata humjui? Kisa mtandao? Puuuuwwwuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
ushatapeliwa???? hebu weka uthibitisho. mi bado siamini kama jf kuna matapeli. lol
 
dena nimekumiss ujue!!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niandae mchakayo wa kukutapeli.
Afu weeh mwana-ukome, hivi hata valentine flowers kwa ex mama mkwe? Nakuambia subiri dawa yako ikiiva unainywea kwenye sefuria.

zawadi nilimpa baba mkwe nikamwambia mgawane!!! kama hajakupa subiri hadi valentine ya mwakani. shkamoo mkwe!!!!
 
Nataka kujua mapenzi yanafanyikaje? Kionlone au live?
Remmy mnakutana kama hivi chitchat au kwenye Pm..Then baadae mnahamia sms/simu au google talk..Hapo itafuatia skype au yahoo video chat..baada ya hapo ni face to face.Na Mungu akipenda ndio hivo tena...
 
Last edited by a moderator:
Remmy mnakutana kama hivi chitchat au kwenye Pm..Then baadae mnahamia sms/simu au google talk..Hapo itafuatia skype au yahoo video chat..baada ya hapo ni face to face.Na Mungu akipenda ndio hivo tena...

Ohooo...thankyou
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom