SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Serikali hii ni sikivu na imesikia vilio vyenu itavifanyia kazi
Eurolink ni janga janga kweli kweli! Si masikhara! Mie nilinda kwa interview zao mbuzi, basi saa ya mshahara nikataja figure reasonable tu, wakashtuka eti! Basi wakaniambia wao wanatoa hio hela ya vocha. Nikawatolea salary sleep nikawaambia mimi huku niliko napata mara kibao zaidi ya hio ila hainitoshi ndo nataka kuhama hivoo, sasa huto tu pesa twa vocha ni deal breaker. Wakaanza kunipiga sound nikawapotezeaaa mazimaaa!
Ila kuna decent recruitment agency kama Enrich Africa yule muhindi yuko poa sanaaaaa. Tena anakwambia usikubali kufanywa valuless na kampuni, unamwambia hela unayotaka anakutafutia within a short time, na humlipi chochote na mkataba un aingia na client wake na yeye analipwa na client. Na ukishaanza kwa client its over btn you guys hakutafuti tena unless usirizike urudi akutaftie pengine.
Ma zero mko wengi.Ukiona wengi wanalia ujue kuna ukweli hapo.
Biashara za kibongo hizo. Badala utoe huduma bomba uvutie wateja wako na wote unaofanya nao biashara ili uwavutie wengi zaidi, unaanza tamaa ya kuwadhulumu watu kupuuzipuuzi tu.
Kama huyu mhindi wa ENRICH AFRICA akiendelea hivyohivyo bila kuharibu basi atachukua biashara yote. That's how you do business. Customer comes first!!
Serikali hii ni sikivu na imesikia vilio vyenu itavifanyia kazi
They also do Total Outsourcing - Foreign Experts on short assignments. They claim to source expatriates who are experts.
They provide complete administrative support, involving logistics, work permits/Visas, Accommodation, payment of salaries etc.
source: Enrich Africa (T) Limited :: Services
This type of outsourcing nayo si itakuwa imepigwa ban? Inawezekana alikuwa anawalipa vizuri lakini ndiyo hivyo, they will have to drop the outsourcing thing and work as a typical recruitment agency.
Tafuteni ushahidi ili mtoe tuhuma vizuri,mtadhulumiwa kama hamtakuwa makini kunote vitu vya msingi.Kuhusu NSSF HAKIKISHENI mnapewa salary slip na mtunze mikataba yenu vizuri maana kisheria kama kuna ushahidi wa hayo makato NSSF lazima wawalipe alafu wao watajuana na kampuni husika.
Btw maandishi yenu haya hayatapita bure kuna hatua flani za kuifatilia kutoka taasisi tofauti zitaanza.Hata watu wa kodi waliokuwa wamelala wataanza kunusa kidogo maana nguvu ya maandishi ya JF si ndogo!!
erolink janga nendeni vodacom call center watu wanataabika mshaara laki 2 utoe nauli ule ulipe kodi na kazi mwanzo mwisho dah
kwa minajili hiyo kila agency watadingizia wanfanya service kama za huyo muhindi kwamba mkataba ana sign muajiriwa na muajiri lakini ukweli hamna kitu mimi nakumbuka kuna recruitment inaitwa maua eti walinitafutia kazi wakaniambia niwalipe 100k ili niweze kupata nikawaambia nitawalipa hiyo nikishapatawakagoma wanataka kwanza nikashuka nao mpk 80k ndio nilipowaona wazushi kitu kama hicho inawezekanaje tukabargain walau ingekuwa fixed ningewaona wapo serious alafu ajabu kabisa mtu niliyekuwa na bargain nae mzungu sasa walifikiri ssijui ningebabaika since that day sikuwatafuta tena alafu waligoma kuniambia ofisi zao ziko wapi so far nilikuwa najua na. Ya simu na web yao tu.Hii biashara inaitwa "recruitment process outsourcing" ambayo serikali imeipiga marufuku jana.
Hii biashara ndiyo proper recruitment agency na sidhani kama imepigwa marufuku jana.
Wanawaonea sana yani hapa ofisi kwetu videmu vilivyoletwa na Erolink washikaji wanavibabaisha wanavigegeda vibaya mno yani gharama yao ni lunch mchana tu kuna jamaa namjua kaisha vifumua kama vitano peke ake.
Sasa bora kupata kidogo au kukosa kabisa?nilikuwa nina mpango wa kupeleka CV yangu pale, nipeleke au nipotezee tuu.ushauri tafadhali.
hawa jamaa hawapo serious kabisa... watu wamefanya kazi mwaka mpaka leo makato yao hayajapelekwa PPF/NSSF, zaidi ya miaka miwili wafanyakazi hawajapata likizo coz mkataba wao na wafanyakazi wao ni kwa miezi mitatu mitatu tuu. wafanyakazi waao wanaweza kucheleweshewa mishahara wakiulizia wanaambiwa tumesahau akaunti zenu....
ni recruitment agency ya kinyonyaji sana....
swali langu hivi wizara ya kazi inajua unyonyonyaji unaofanywa na hizi recruitment agencies???
ni nani anayewapa kiburi hawa jamaa???
source: mie mwenyewe niliwahi kufanya nao kazi