Ok Cereen, nimeelewa sasa kwa hiyo wanasuply manpower kwenye makampuni? kama ni hili ni janga poleni sana ndugu zangu hope they will make it this timewanawakata mbona makato ya ppf?na ushahidi wanao mikononi mwao...ni form wanazojazishwa once wakiwaajiri kama tempo...overtime zao pia wanazolipwa na kampuni husika...zikifika erolink wanakula wao...yaani najanga...na hivi hao wakubwa wanaokula kupitia erolink hawashibi pesa?wana pesa ngapi mpk wakale za huyu mtoto wa masikini?huko VODACOM Ndio kabisaaaa...wanapewa laki mbili...kula juu yao...nauli juu yao...kila kitu...je mwisho wa mwezi wanabakiwa na nn jamani?inaniouma kuona msomi mwenzangu niliyemaliza nae chuo...tena elimu ya juu zaidi,analipwa laki mbili na mm niliyeajiliwa tukiwa na elimu sawa nalipwa laki nane...hii sio haki kabisa...tena tukiwa tunafanya kazi moja...namaanisha moja..inatia uchungu..
wanawakata mbona makato ya ppf?na ushahidi wanao mikononi mwao...ni form wanazojazishwa once wakiwaajiri kama tempo...overtime zao pia wanazolipwa na kampuni husika...zikifika erolink wanakula wao...yaani najanga...na hivi hao wakubwa wanaokula kupitia erolink hawashibi pesa?wana pesa ngapi mpk wakale za huyu mtoto wa masikini?huko VODACOM Ndio kabisaaaa...wanapewa laki mbili...kula juu yao...nauli juu yao...kila kitu...je mwisho wa mwezi wanabakiwa na nn jamani?inaniouma kuona msomi mwenzangu niliyemaliza nae chuo...tena elimu ya juu zaidi,analipwa laki mbili na mm niliyeajiliwa tukiwa na elimu sawa nalipwa laki nane...hii sio haki kabisa...tena tukiwa tunafanya kazi moja...namaanisha moja..inatia uchungu..
Wanawaonea sana yani hapa ofisi kwetu videmu vilivyoletwa na Erolink washikaji wanavibabaisha wanavigegeda vibaya mno yani gharama yao ni lunch mchana tu kuna jamaa namjua kaisha vifumua kama vitano peke ake.
erolink nao wanahusika hapa?wangapi wanalipwa vizuri naniii ni kama kawaWanawaonea sana yani hapa ofisi kwetu videmu vilivyoletwa na Erolink washikaji wanavibabaisha wanavigegeda vibaya mno yani gharama yao ni lunch mchana tu kuna jamaa namjua kaisha vifumua kama vitano peke ake.
uoga wao ndio umaskini sheria za kazi zipo kwa matatizo kama haya.........yaani ni mateso saaana...hata hapa nilipo wanateseka saaana....serikali inajua chochote kuhusu hili?wanataka hawa watu wajihesabie wana ajira?aaaaaaaaaaaaarira gani hii?si ushenzi mtupu huu...wao wenyewe pale erolink wanakula bata mbaya...ila nasikia hapa oficn kwetu kuna mkubwa ametia mkpno wake katika kampuni hii...so anakula pia na yy...ndio maana erolink wapo wengi saana hapa...nimeona tena kuna jamaa amepost kule jukwaa la sheria akiomba msaada kuhusu hili suala la erolink...ingieni na kule wana jamvi mjionee..
we uko tigo, au airtel....voda hawatoi iyo inatolewa na hao mabazazi baada kupiga cha juuwanawakata mbona makato ya ppf?na ushahidi wanao mikononi mwao...ni form wanazojazishwa once wakiwaajiri kama tempo...overtime zao pia wanazolipwa na kampuni husika...zikifika erolink wanakula wao...yaani najanga...na hivi hao wakubwa wanaokula kupitia erolink hawashibi pesa?wana pesa ngapi mpk wakale za huyu mtoto wa masikini?huko VODACOM Ndio kabisaaaa...wanapewa laki mbili...kula juu yao...nauli juu yao...kila kitu...je mwisho wa mwezi wanabakiwa na nn jamani?inaniouma kuona msomi mwenzangu niliyemaliza nae chuo...tena elimu ya juu zaidi,analipwa laki mbili na mm niliyeajiliwa tukiwa na elimu sawa nalipwa laki nane...hii sio haki kabisa...tena tukiwa tunafanya kazi moja...namaanisha moja..inatia uchungu..
kaa nyumban uone utamu wake
aisee jana tu nilikua sehemu na mmoja wa jamaa wa hiyo kampuni...luunch..kuna videmu vilikua vinajipendekeza kwake avipe kazi....hahahahahaha..kama mambo yenyewe ndiyo haya nawaonea huruma
mwambie jamaa yako anipe kazi ila jipendekeze mwenyewe bana
we..huna kazi..?