be ware of erolink

be ware of erolink

KIMAROO

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
453
Reaction score
259
hawa jamaa hawapo serious kabisa... watu wamefanya kazi mwaka mpaka leo makato yao hayajapelekwa PPF/NSSF, zaidi ya miaka miwili wafanyakazi hawajapata likizo coz mkataba wao na wafanyakazi wao ni kwa miezi mitatu mitatu tuu. wafanyakazi waao wanaweza kucheleweshewa mishahara wakiulizia wanaambiwa tumesahau akaunti zenu....
ni recruitment agency ya kinyonyaji sana....
swali langu hivi wizara ya kazi inajua unyonyonyaji unaofanywa na hizi recruitment agencies???
ni nani anayewapa kiburi hawa jamaa???

source: mie mwenyewe niliwahi kufanya nao kazi
 
hawa jamaa ni washenzi sana...hapa kazini kwangu naomba nisipataje jina...wapo wafanyakazi wa elorink kama mia hivi...yaani wananyanyasika sana...kwa kweli serikali tunaomba iingilie kati suala hili...watu wanaofahamu sheria za kazi pia waingilie kati suala hili...wafanyakazi wanakosa haki zao za msingi zooote...mfano hapa ninapofanyia kazi huwa wanakaa mpk saa mbili au tatu...na kampuni inawalipa overtime...but ikifika kule erolink wwanaila wao...wafanyakazi hawapi kitu...huu si uungwana...tanzania tunaenda wapi?
 
wananyonya saaaaana c jui pale nani kaweka mkono haiwezekani wawe hivi bure bure
hawa jamaa ni washenzi sana...hapa kazini kwangu naomba nisipataje jina...wapo wafanyakazi wa elorink kama mia hivi...yaani wananyanyasika sana...kwa kweli serikali tunaomba iingilie kati suala hili...watu wanaofahamu sheria za kazi pia waingilie kati suala hili...wafanyakazi wanakosa haki zao za msingi zooote...mfano hapa ninapofanyia kazi huwa wanakaa mpk saa mbili au tatu...na kampuni inawalipa overtime...but ikifika kule erolink wwanaila wao...wafanyakazi hawapi kitu...huu si uungwana...tanzania tunaenda wapi?
 
Wanawaonea sana yani hapa ofisi kwetu videmu vilivyoletwa na Erolink washikaji wanavibabaisha wanavigegeda vibaya mno yani gharama yao ni lunch mchana tu kuna jamaa namjua kaisha vifumua kama vitano peke ake.
 
yaani ni mateso saaana...hata hapa nilipo wanateseka saaana....serikali inajua chochote kuhusu hili?wanataka hawa watu wajihesabie wana ajira?aaaaaaaaaaaaarira gani hii?si ushenzi mtupu huu...wao wenyewe pale erolink wanakula bata mbaya...ila nasikia hapa oficn kwetu kuna mkubwa ametia mkpno wake katika kampuni hii...so anakula pia na yy...ndio maana erolink wapo wengi saana hapa...nimeona tena kuna jamaa amepost kule jukwaa la sheria akiomba msaada kuhusu hili suala la erolink...ingieni na kule wana jamvi mjionee..
 
..aaah mkuu KIMAROO na CAREEN QUEEN serikali haiwezi saidia kabisa hapo, inadeal na ishu za kisiasa kwanza wakifocus 2015, so ishu kama hizi ambazo hazina impact kwenye uchaguzi hazisumbui akili na muda wao. ngoja tutoke kwenye magorofa kwanza .....
 
Last edited by a moderator:
Wanawaonea sana yani hapa ofisi kwetu videmu vilivyoletwa na Erolink washikaji wanavibabaisha wanavigegeda vibaya mno yani gharama yao ni lunch mchana tu kuna jamaa namjua kaisha vifumua kama vitano peke ake.

..wanaliwaje,inawezekana mshahara unawaponza pia,wanapelekwa mahali ambapo waajiriwa wanalipwa hela kubwa kuliko wao so wanapata vishawishi sana.. jamani hata makampuni ya usafi wananyanyaswa sana, nilisikia hata nguo za kazi kama t shirts n.k wanalazimishwa kulipia..
 
Wanawaonea sana yani hapa ofisi kwetu videmu vilivyoletwa na Erolink washikaji wanavibabaisha wanavigegeda vibaya mno yani gharama yao ni lunch mchana tu kuna jamaa namjua kaisha vifumua kama vitano peke ake.
Mh! hapo wa kulaumiwa sio Erolink.
Hao wanawake na wao hawajiheshimu, kuwa na kipato kidogo sio excuse ya kuwa malaya.
 
jamani hawa jamaa ni janga na serikali inawaangalia tu
 
Tafuteni ushahidi ili mtoe tuhuma vizuri,mtadhulumiwa kama hamtakuwa makini kunote vitu vya msingi.Kuhusu NSSF HAKIKISHENI mnapewa salary slip na mtunze mikataba yenu vizuri maana kisheria kama kuna ushahidi wa hayo makato NSSF lazima wawalipe alafu wao watajuana na kampuni husika.

Btw maandishi yenu haya hayatapita bure kuna hatua flani za kuifatilia kutoka taasisi tofauti zitaanza.Hata watu wa kodi waliokuwa wamelala wataanza kunusa kidogo maana nguvu ya maandishi ya JF si ndogo!!
 
huu ni wizi halafu hao TUCTA wako wapi hawaoni haya?? jamani jamani hii nchi cjui inaenda wapi naona dalili za vijana wasomi kukata tamaa.. wanasema vijana wawe wajasiriamali, ujasiriamali bila mtaji??? wakubwa wenyewe wameanza na kazi kwanza wakapata mitaji wakaanza biashara. eti wafanye kilimo, kilimo katika ardhi ipi, kwa mtaji upi??? tafadhali jamani vijana wanaomaliza chuo wajaliwe wanateseka sana....
 
Tafuteni ushahidi ili mtoe tuhuma vizuri,mtadhulumiwa kama hamtakuwa makini kunote vitu vya msingi.Kuhusu NSSF HAKIKISHENI mnapewa salary slip na mtunze mikataba yenu vizuri maana kisheria kama kuna ushahidi wa hayo makato NSSF lazima wawalipe alafu wao watajuana na kampuni husika.

Btw maandishi yenu haya hayatapita bure kuna hatua flani za kuifatilia kutoka taasisi tofauti zitaanza.Hata watu wa kodi waliokuwa wamelala wataanza kunusa kidogo maana nguvu ya maandishi ya JF si ndogo!!

unapoint kaka kwakweli ni janga
 
ni ya ku recuit...yaani wanakupatia kazi wao wanakula asilimia kibao wewe unabaki mateso....ila ndio unakua temporary mpk wanakutema au uache mwenyewe

ooo toba!! maana nimeshangaa mleta mada amesema hawapeleki michango kwenye mifuko ya jamii!!! nikafikiri wanaajiri
 
careen queen nakuelewa sana yaani hawa jamaa nafikiri hawajui kwamba MUNGU yupo. na anaona wanavyowanyanyasa wenzao
 
hivi kwa waandishi wa habari za kiuchunguzi hili kwao cyo habari??? au siasa pekee ndiyo habari??/
 
wanawakata mbona makato ya ppf?na ushahidi wanao mikononi mwao...ni form wanazojazishwa once wakiwaajiri kama tempo...overtime zao pia wanazolipwa na kampuni husika...zikifika erolink wanakula wao...yaani najanga...na hivi hao wakubwa wanaokula kupitia erolink hawashibi pesa?wana pesa ngapi mpk wakale za huyu mtoto wa masikini?huko VODACOM Ndio kabisaaaa...wanapewa laki mbili...kula juu yao...nauli juu yao...kila kitu...je mwisho wa mwezi wanabakiwa na nn jamani?inaniouma kuona msomi mwenzangu niliyemaliza nae chuo...tena elimu ya juu zaidi,analipwa laki mbili na mm niliyeajiliwa tukiwa na elimu sawa nalipwa laki nane...hii sio haki kabisa...tena tukiwa tunafanya kazi moja...namaanisha moja..inatia uchungu..

ooo toba!! maana nimeshangaa mleta mada amesema hawapeleki michango kwenye mifuko ya jamii!!! nikafikiri wanaajiri
 
Back
Top Bottom