BBC Kiswahili kwasasa inaongozwa na Mkenya, je na yeye anataka vyeo Tanzani?
Aliyechaguliwa kufanya coverage ni Mbongo.....

Naifuatilia BBC kwa makini tangu jana ila napata wasiwasi kama wapo balanced kwenye habari zao. Wanajifanya kama vile wanachambua wakati wanahitimisha kwa ushabiki. Leo ilikuwa mara ya pili kuwasikia wakihoji watu kwenye mikutano ya CHADEMA kwa lengo la kuonyesha kwamba ile nyomi ipo ipo tu. Mara ya kwanza niliwasikia Karagwe na leo ilikuwa Zanzibar. Anyway, kuhusu Zanzibar haishangazi lakini BBC wanapaswa "Kudeclare Interest". Bado tuna kumbukumbu na Tido Mhando 2005!

bbc kiswahili kwasasa inaongozwa na mkenya, je na yeye anataka vyeo tanzani?
Radio fair ni deutsche welle.
naamini wanabaniwa kuingia kwenye kuripoti kwa mapana kwa sababu ccm wanajua hawana mapandikizi mule. ila bbc ambayo TIDO ametokea humo kuna chipukizi kibao ya ccm ambayo yanasubiri kupangiwa kazi na serikali ya ccm.
Kama mnabisha semeni
BBC Kiswahili kwasasa inaongozwa na Mkenya, je na yeye anataka vyeo Tanzani?
Karaha ya manazi waliokubuhu ni kupenda kusikiliza jema tu la chama wakipendacho. Wakiambiwa tofauti hata kama Ndio Ukweli Hawapendi kabsaaa kusikia....Mtalia sana safari hii.hivi mlitaka tuambiwe Slaa atakomba kura zanzibar ndo turidhike wakati hicho kitu hakipo?
BBC Kiswahili kwasasa inaongozwa na Mkenya, je na yeye anataka vyeo Tanzani?
Naifuatilia BBC kwa makini tangu jana ila napata wasiwasi kama wapo balanced kwenye habari zao. Wanajifanya kama vile wanachambua wakati wanahitimisha kwa ushabiki. Leo ilikuwa mara ya pili kuwasikia wakihoji watu kwenye mikutano ya CHADEMA kwa lengo la kuonyesha kwamba ile nyomi ipo ipo tu. Mara ya kwanza niliwasikia Karagwe na leo ilikuwa Zanzibar. Anyway, kuhusu Zanzibar haishangazi lakini BBC wanapaswa "Kudeclare Interest". Bado tuna kumbukumbu na Tido Mhando 2005!
Hata mimi nimesikia asubuhi , sijawaelewa kwa kweli. Yaani wanaconclude kiaina!