Wenzio bavicha waliambiwa wasusie tbc
wewe susia tu huwapunguzii kitu.
Jf tulikuwa live toka asubuhi,hujapata ulichokitaka?
Huenda nikasusia kusikiliza/kutazama BBC, kwa sababu ya unafiki wao. Mfano leo wamesoma kwa ufupi sana suala la J Kikwete kuhutubia bunge la katiba, lakini wametoa airtime ya kutosha sana suala la ndoa huko Kenya, na hii tabia imekuendelevu sana kwa BBC. Wanakera sana, wasikilizaji/watazamaji wengi wa lugha ya kiswahili ya BBC ni Watanzania lkn mambo yetu ya muhimu yamekuwa hayapewi kipaumbele kabisa.. Nitasusa hivi karibuni.
Mkuu, tatizo kuna kitu ambacho ulitarajia kukisikia kutoka huko kwa kuamini BBC ni shirika kubwa duniani, lakini bahati mbaya haukukipata. Nakushauri uanzishe shirika lako la habari ili uwe unatoa vizuri habari unazozipenda zaidi.
Huenda nikasusia kusikiliza/kutazama BBC, kwa sababu ya unafiki wao. Mfano leo wamesoma kwa ufupi sana suala la J Kikwete kuhutubia bunge la katiba, lakini wametoa airtime ya kutosha sana suala la ndoa huko Kenya, na hii tabia imekuendelevu sana kwa BBC. Wanakera sana, wasikilizaji/watazamaji wengi wa lugha ya kiswahili ya BBC ni Watanzania lkn mambo yetu ya muhimu yamekuwa hayapewi kipaumbele kabisa.. Nitasusa hivi karibuni.
Unajua maana ya BBC? Ni Shirika la Utangazaji la Uingereza, nafikiri hilo linapaswa kukupa jibu la Swali lako! ningekuelewa kama ungesema kwa nini TBC yetu haikufanya hivyo!
Huenda nikasusia kusikiliza/kutazama BBC, kwa sababu ya unafiki wao. Mfano leo wamesoma kwa ufupi sana suala la J Kikwete kuhutubia bunge la katiba, lakini wametoa airtime ya kutosha sana suala la ndoa huko Kenya, na hii tabia imekuendelevu sana kwa BBC. Wanakera sana, wasikilizaji/watazamaji wengi wa lugha ya kiswahili ya BBC ni Watanzania lkn mambo yetu ya muhimu yamekuwa hayapewi kipaumbele kabisa.. Nitasusa hivi karibuni.
Huenda nikasusia kusikiliza/kutazama BBC, kwa sababu ya unafiki wao. Mfano leo wamesoma kwa ufupi sana suala la J Kikwete kuhutubia bunge la katiba, lakini wametoa airtime ya kutosha sana suala la ndoa huko Kenya, na hii tabia imekuendelevu sana kwa BBC. Wanakera sana, wasikilizaji/watazamaji wengi wa lugha ya kiswahili ya BBC ni Watanzania lkn mambo yetu ya muhimu yamekuwa hayapewi kipaumbele kabisa.. Nitasusa hivi karibuni.
Hv makao makuu ya BBC, East african si yapo kenya au?