IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,492
- 5,350
Huenda nikasusia kusikiliza/kutazama BBC, kwa sababu ya unafiki wao. Mfano leo wamesoma kwa ufupi sana suala la J Kikwete kuhutubia bunge la katiba, lakini wametoa airtime ya kutosha sana suala la ndoa huko Kenya, na hii tabia imekuendelevu sana kwa BBC.
Wanakera sana, wasikilizaji/watazamaji wengi wa lugha ya kiswahili ya BBC ni Watanzania lkn mambo yetu ya muhimu yamekuwa hayapewi kipaumbele kabisa.. Nitasusa hivi karibuni.
Wanakera sana, wasikilizaji/watazamaji wengi wa lugha ya kiswahili ya BBC ni Watanzania lkn mambo yetu ya muhimu yamekuwa hayapewi kipaumbele kabisa.. Nitasusa hivi karibuni.