BBC na uchochezi, itafutwe namna idhibitiwe

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
921
Reaction score
1,663
wakuu

kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania

kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano

kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais

Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?

Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki
 
Kabla ya kusema eti BBC ni wachochezi, hebu jaribuni kumfundisha Rais wenu namna ya kuongea na kutoa hotuba. Mfundisheni ni maneno gani aongee mbele ya hadhara na maneno gani aongee akiwa Ofisini kwake. Urais ni "taasisi" hivyo kabla Rais hajaongea chochote hotuba yake inapaswa kukaguliwa ili asiichafue taasisi kwa maneno yasiyofaa.
 
Badala ya kutuwekea umasikini wako wa akili na pesa ni vema kwanza ukatuonyesha huo uchochezi wa BBC tuuone .
 
wakuu

kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania

kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano

kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais

Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?

Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki
Stupid argument!! Can you please defend your position on what you have written in the second paragraph by listing the statement (s) as spoken by the President Vs your interprentation and BBC’s interpretation? We need to justify your claim.
 
Ni bahati mbaya taifa Lina watu wanaofikir kama wewe....
Dawa ya habari isiyokupendeza ni kufafanua, kuelezea na kuonesha umuhim WA huo msimamo wako, hayo ya kufungia mtafungia viredio vyenu uchwara Tu... Most of us can have the access of BBC anywhere at anytime...
 
Wadhungu wasipokuwa wachochezi kwa nchi za kiafrica watakula wapi?
Waache wajidumbue tumesha wapiga chini hiyo miimbecile!
 
wakuu

kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania

kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano

kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais

Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?

Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki

Huja fafanua ni uchochezi gani wamesema. Fafanua tukuelewe au utulie dawa iingie.
 
Kabla ya kusema eti BBC ni wachochezi, hebu jaribuni kumfundisha Rais wenu namna ya kuongea na kutoa hotuba. Mfundisheni ni maneno gani aongee mbele ya hadhara na maneno gani aongee akiwa Ofisini kwake. Urais ni "taasisi" hivyo kabla Rais hajaongea chochote hotuba yake inapaswa kukaguliwa ili asiichafue taasisi kwa maneno yasiyofaa.
safi sana
 
BBC imemchochea nani. Imechochea wafanye nimni?

Rais akitenda yaliyo sawa siyo habari kwa sababu ndicho tunachokitarajia toka kwake. Akifanya mabaya, ni habari maana hakuna anayemtegemea Rais, ambaye ana wasaidizi kibao, washauri wengi na resources mbalimbali za serikali, kutenda vibaya.
 
wakuu

kwa muda sasa hili shirika la utangazi kutoka uingereza BBC limekuwa likiripoti habari kwa namna ya kichochezi hapa tanzania

kwa hapa nchini BBC kupitia BBC swahili imekuwa mstari wa mbele kuuoneshea ulimwengu na watanzania yale mambo tu yenye ukakasi yanayofanywa na mh rais Magufuri hata kama hayana ukakasi huo BBC swahili hukoleza chumvi na hatimaye kuichafua serikali ya awamu ya tano

kiukweli bbc swahili ni chanzo cha uchochezi, mambo mazuri ya serikali hii hayashikiliwi na hayatangazwi sana kama hizi kauli za kawaida tu ambazo hutolewa na rais

Imefika wakati rasmi sasa, serikali iiwaadhibu na kuwadhibiti hawa Bbc kwa tabia zao za kumchafua rais. uthibiti umewezekana kwa vyombo vya habari vya ndani, kwanini BBC swahili isidhibitiwe?

Nini kinakwamisha serikali kukifungia bbc kwa uchochezi kinaoufanya?

wapi mamlaka husika? inaama hawaoni uchochezi huu kutoka bbc? au wizara ipo kwa itv startv jf, tanzania daima na media za watanzania tu

ni wakati sasa bbc kichukuliwe hatua, uchochezi wake hauvumiliki
Tatizo sio bbc tatizo liko kwa huyo mwandishi wao wa habari alieko hapa tanzania .
 
Back
Top Bottom