The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 2,997
- 4,167
Mbege kwa mchaga apunguze aongeze nini?Nani kasema ni leo bwashee?
Punguza mbege!
Mbege kwa mchaga apunguze aongeze nini?Nani kasema ni leo bwashee?
Punguza mbege!
Rais Samia ashikie hapo hapoKwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.
Wanajua kuwa at the end China itabeba mzigo huo wote na fidia juu ya maisha yaliyo potea, wale wanao ficha takwimu za wagonjwa na vifo itakula kwao.BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo.
BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa kiasi kikubwa deni la taifa.
Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.
Source: BBC Dira ya Dunia
Mungu ni mwema wakati wote!
ila bro mbona naona anamaanisha madeni kutoka kwa wamerikani na sio ADF, au ADF na wamerikani ni sawa?Usiwaamini hao BBC Swahili ni WAKURUPUKAJITanzania: African Development Fund approves $50.7m Covid-19 crisis response budget support
The Board of Directors of the African Development Fund (ADF) has approved a loan of UA 36 million ($50.7 million) to Tanzania, to finance the nation’s response to the COVID-19 pandemic. The loan, from the African Development Bank Group’s COVID-19 Response Facility (CRF), will support the...www.afdb.org
ila bro mbona naona anamaanisha madeni kutoka kwa wamerikani na sio ADF, au ADF na wamerikani ni sawa?
naona kama anamaanisha haina deni lolote kutoka kwa wamarekani au nakosea?Soma vizuri kichwa cha habari.
naona kama anamaanisha haina deni lolote kutoka kwa wamarekani au nakosea?
Hebu fikiria 1.5b us dollar tunawekeza kwenyw miundo mbinu paa au kilimo baada ya miaka mitatu si tungekuww pazuri sanaBBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo.
BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa kiasi kikubwa deni la taifa.
Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.
Source: BBC Dira ya Dunia
Mungu ni mwema wakati wote!
KENYATA ACC ...BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo.
BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa kiasi kikubwa deni la taifa.
Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.
Source: BBC Dira ya Dunia
Mungu ni mwema wakati wote!
KWAHIOO ZILE CHANJOOO ZILIKUJA. NA TRENI YA DK SIOOOO TAKBIIIIRBBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo.
BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa kiasi kikubwa deni la taifa.
Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.
Source: BBC Dira ya Dunia
Mungu ni mwema wakati wote!
duuH,Hebu fikiria 1.5b us dollar tunawekeza kwenyw miundo mbinu paa au kilimo baada ya miaka mitatu si tungekuww pazuri sana
ila duh!Madeni wanadaiwa na Corona haijawaacha salama bado imewakazia......
🤣🤣🤣🤣🤣BBC wamezungumzia madeni siyo mazishi bwashee!