#COVID19 BBC na Corona: Kenya tayari ina deni la $ 1.5 bilion za Marekani, Tanzania haina deni lolote hadi sasa

Una maana kuwa japo kwa udi na uvumba Tanzania nayo iliomba mkopo huo wenye masharti nafuu, bado ilinyimwa na tokea kipindi cha jiwe hadi leo ingali inaendelea kuusotea mkopo huo au fursa kama SSH anavyoita?

Labda ungeonyesha kutonufaika kwa mkopo huo kwa kenya na kunufaika kwa Tanzania kwa kuukosa mkopo huo?

Sehemu nyingine ya msingi ya ulinganifu ilikuwa kwenye vifo.

Bila shaka hata babu Loliondo atakuwa ni mfumo wake wa umeme wa moyo tu ulikata wala si Corona.
 
Hizo hela pamoja kuwa na baadhi zilipigwa za kenya lengo lake lilikuwa ni stimulant package ya kubooster economy Uganda na Rwanda walipewa pia ilikuwa ni ujinga sana sisi watz kukataa hata kuigiza vimasharti vidogo vya corona matokeo yake tozo na kodi mpaka kwenye mafuta zimekuwa kubwa sana kutafuta mapato
 
BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo.

BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa kiasi kikubwa deni la taifa.

Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.

Source: BBC Dira ya Dunia

Mungu ni mwema wakati wote!
Wanajua kuwa at the end China itabeba mzigo huo wote na fidia juu ya maisha yaliyo potea, wale wanao ficha takwimu za wagonjwa na vifo itakula kwao.
 
Usiwaamini hao BBC Swahili ni WAKURUPUKAJI
ila bro mbona naona anamaanisha madeni kutoka kwa wamerikani na sio ADF, au ADF na wamerikani ni sawa?
 
BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo.

BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa kiasi kikubwa deni la taifa.

Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.

Source: BBC Dira ya Dunia

Mungu ni mwema wakati wote!
Hebu fikiria 1.5b us dollar tunawekeza kwenyw miundo mbinu paa au kilimo baada ya miaka mitatu si tungekuww pazuri sana
 
BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo.

BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa kiasi kikubwa deni la taifa.

Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.

Source: BBC Dira ya Dunia

Mungu ni mwema wakati wote!
KENYATA ACC ...
 
KWAHIOO ZILE CHANJOOO ZILIKUJA. NA TRENI YA DK SIOOOO TAKBIIIIR
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom