BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
Mwisho aombe Mungu adumu muda mrefu huko BBA watu walishachoka na mizinga yake ya pombe na 500 ya kucheza pultable
 
Yeah Pamulomo Paloma yupo ndani ya nyumba

Mwaka huu sina hakika kama anaweza kuwa na nguvu aliyokuwa mwaka jana kwa kuwa kuna namba 2 ambazo zimeshindikana, Lerato na Meryl. Pia kwa kuwa ni wavuta sigara, lazima wataungana na Sheila. Hizo namba 3 hawezi kuzi-control kama alivyokuwa anawa-control wasichana mwaka jana. May be atam-control Jennifer tu.

Asipokuwa makini na kwa kuwa housemates wengi wanamfahamu anaweza asikae ndani ya nyumba kwa muda mrefu, anahitaji kufanya mabadiliko ya hali ya juu sana.
 
Mpaka sasa Mwisho yuko kwenye nafasi nzuri ya kudumu mjengoni kutokana na BBA free Polls ...

1) Which is the mostly likely couple ? (created by BBA and Mwisho & Jenny are qouted and other pairs more) Mwisho & Jenny are leading among listed with 39.8% now.
2) Which housemate are loverble most ? - result put Mwisho on second place with 11.3% after Uti who is leading with 28.8%.
3) Which housemate will be first to leave the house? - result Yacob 21.6% likely to leave the house earlier and with least vote 2.0% while Mwisho stand at 5.6%.

All this put Mwisho at the right wing to stay longer at the house. Just vote of him to stay in the house !!!
 
Jen:She ran away/eloped with an older man of 30 when she was 16. He parents reported it to the police and she had Interpol searching for her. Haiwezi kuwa na madhara psychologically?
 

Mtoto kwa fegi huyu laa
Leo kijana Mwisho kafanya maamuzi ya ajabu sijui ndo anausoma mchezo kwa nje upoje?! mana hakutaja mtu kwenye nomination so jina lake lipo kwa eviction next sunday.This means huenda safari yake ikawa ya mapema kama mchezo haujasomeka vyema
 

Mtoto kwa fegi huyu laa
Leo kijana Mwisho kafanya maamuzi ya ajabu sijui ndo anausoma mchezo kwa nje upoje?! mana hakutaja mtu kwenye nomination so jina lake lipo kwa eviction next sunday.This means huenda safari yake ikawa ya mapema kama mchezo haujasomeka vyema

Huenda ,trick ikamuokoa
 
What is the strategy behind the 'All Stars'Concept?! i sense some lack of creativity here!!:twitch:
 

Mtoto kwa fegi huyu laa
Leo kijana Mwisho kafanya maamuzi ya ajabu sijui ndo anausoma mchezo kwa nje upoje?! mana hakutaja mtu kwenye nomination so jina lake lipo kwa eviction next sunday.This means huenda safari yake ikawa ya mapema kama mchezo haujasomeka vyema
Alikuwa sahihi kugoma lakini jinsi alivyogoma nadhani ilikuwa too rude, hakuongea kwa upole, sijui ni kwasababu ya kiinglish kigumu au aliamua kuwa hivyo, alikuwa kama mtu ambaye amekwazika na kitu ndani ya jumba kama ana hasira hivi. Always there is an Option!
 

Mtoto kwa fegi huyu laa
Leo kijana Mwisho kafanya maamuzi ya ajabu sijui ndo anausoma mchezo kwa nje upoje?! mana hakutaja mtu kwenye nomination so jina lake lipo kwa eviction next sunday.This means huenda safari yake ikawa ya mapema kama mchezo haujasomeka vyema

Probably the strategy will get him somewhere

[video]http://bigbrotherafrica.dstv.com/video/play.aspx?vid=2641[/video]
 
Mwisho saved all the housemate after nominated himself. He is the most sincere man and we need him in.
Big Brother decided to review the situation and put everyone up for Eviction instead.

Let vote for Mwisho to stay in the house....
 
Mwisho aombe Mungu adumu muda mrefu huko BBA watu walishachoka na mizinga yake ya pombe na 500 ya kucheza pultable

siyo inshu mzazi ukiona mtu anakupiga mzinga ujue anakuaminia siyo inshu kumchana mbele ya kadamnasi....sidhani kama alikuwa anapiga mzinga hata asiowajua!
 
Special Treatment For Munya

20-Jul_Merylbed_art.jpg


Meryl seems to have her claws out for Munya and it looks like he is complying.

For someone who has been going on about being wiser, more focused and with a lot more to lose this time around, Munya seems to be backsliding very early in the game.

The Zimbabwean heart-throb seems to have fallen for Meryl’s trap. She made no secret that she‘s got the hots for him, Hannington and Uti so, watch out Zim boy, you could be trapped already!



Munya and Meryl have been sharing quite a bit of quality time lately; giving each other back rubs, taking a shower together as well as applying lotion on each other’s backs. Could the vixen be getting her way so early already?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo kapo hapo juu, wote ni wahanga, lazima moto utawaka. Kwanza wote wanakamata fegi. Munya anaweza kuendeleza zile stori zake alizokuwa anampa Tawana. Pamoja na kwamba Munya amepata mtoto hivi majuzi, lakini nina wasiwasi kama kijana ana breki na hasa akikaa zaidi ya wiki 4. Meryl nae hana hiyana, kwenye BBA II alituhumiwa kwamba alimgawia uroda Kwaku-T (Ghana) ingawa yeye mwenyewe alikanusha, kwa hiyo naona kuna dalili zote za kuwasha moto.
 
Mabibi na mabwana, kwa heshima na taadhima napenda kuchukua fursa hii kuweka wazi kuwa nitatumia nguvu zangu zoote kumpa shavu kamanda Mwisho.

Na pia nzpenda kuchukua fursa hii kulaani vikali wabongo wanaomuombea mabaya Mtoto wa Mwampamba.

Ni hulka ya wanaume wenye homoni za kike kwenda kumchukia mtu ambaye hajawahi kumuudhi, kumuomba bia, sigara wala vocha ya simu.

Hivyo watu wooote wenye tabia kama hizo ni wasaliti na vibaraka wa wapumbavu wachache.

Forza Mwisho..
Tuko pamoja nawe
 
...Ni hulka ya wanaume wenye homoni za kike kwenda kumchukia mtu ambaye hajawahi kumuudhi, kumuomba bia, sigara wala vocha ya simu.
...
Kwa hiyo wanawake wanaruhusiwa kuchukia watu? Lugha hiyo inaonyesha dhahiri mwisho wa upeo wako!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom