BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
Naam, Hannington becomes the 13th housemate from Uganda to enter the BBA house

Duu kuna watu ukikumbuka umarufu wao unawaonea huruma, maana hannington alionekana kuwa ni mchafu na mademu walikuwa wanammind sana wanasema ana Harufu sasa sijui atabadirika ashinde mkwanja?
 
Tatiana becomes the LAST housemate to enter the BBA House tonight...! She's representing Angola
 
Gaetano sasa ana miaka 37 au 38, sidhani kama anaweza kuja. Mostly likely ni Maurine au Hunnington. Maurine akirudi, sijui itakuwaje na Code wake?

Mwakilishi wa Angola ni nani?
 
Huu ni mchanganyiko mkali, but 90% ni walevi na tena walevi wa kutupwa. Lazima jumba la mwaka huu kutakuwa na ngumi nyingi sana. Pia kuna wasema ovyo kibao. Untouchables wa BBA II wamrudi Lerato na Meryl, na wote ni wasema ovyo.
 
zambia nani jamani nimepitia list ya mzee invisible siioni?
Nitamumisi yule dada wa kitswana aliyesema kuwa mwili ulikuwa unamuwasha kwasababu anamisi wavulana
 
Asante mzee invisible lakini mwaka huu wametusaidia hatutapoteza muda kuanza kuwajua kwanza hao washiriki, maana moja kwa moja tunaingia dimbani kwenye mtanange. Bila shaka kule kwetu mbeya tunasema Ingoma inogile au ingoma inogile vuyikalila kha ha ha ha
 
zambia nani jamani nimepitia list ya mzee invisible siioni?
Nitamumisi yule dada wa kitswana aliyesema kuwa mwili ulikuwa unamuwasha kwasababu anamisi wavulana

Kuna mahali nimeona wanasema Mama Lao Paloma amerudi, sasa sijui ni uzushi ama ni chuki za watu? Ngoja tusubiri Invisible aje atupe uhakika.
 
Kuna mahali nimeona wanasema Mama Lao Paloma amerudi, sasa sijui ni uzushi ama ni chuki za watu? Ngoja tusubiri Invisible aje atupe uhakika.
Wakuu, Paloma yupo, nadhani kama sikuwafahamisha nilipitiwa...
 
zambia nani jamani nimepitia list ya mzee invisible siioni?
Nitamumisi yule dada wa kitswana aliyesema kuwa mwili ulikuwa unamuwasha kwasababu anamisi wavulana
Zambia inawakilishwa na Paloma bana, sorry kumbe nilimruka kwa kumwangalia unene wake tu :pound:
 
Kuna mahali nimeona wanasema Mama Lao Paloma amerudi, sasa sijui ni uzushi ama ni chuki za watu? Ngoja tusubiri Invisible aje atupe uhakika.
Yeah Pamulomo Paloma yupo ndani ya nyumba
 
Housemates Secrets! Shhhh......

Lerato-South-Africa_Secretspic.jpg


One is having an affair with a high-profile personality, another one peed in her pants, while one of the guys has been celibate for 7 months! The Housemates have secrets! And boy are they juicy...

This Season, the Housemates have all entered the Big Brother House carrying a secret, which they have told to Big Brother, and now you, the audience. There are 14 housemates, and 14 secrets each worth $1000.

It is the task of each and every one of the Housemates to find out what the other housemates’ secrets are, although this is neither obligatory, nor compulsory. As a small incentive, when one finds out another Housemate’s secret, they automatically acquire all the cash in their Vault.

They may not simply tell the other Housemates their secret, as this will result in penalties, and the loss of their $1000. Cryptic hints will be supplied to help Housemates uncover each other’s secrets.

The secrets are as follows, click through to watch as the Housemates reveal all...

Meryl:
She is having an affair with a Namibian personality

Jen:She ran away/eloped with an older man of 30 when she was 16. He parents reported it to the police and she had Interpol searching for her.

Mwisho:
He is dating two chicks at the same time

Hannington:
He had a scene with his girlfriend’s mother

Lerato:
She has a piercing in a strange place

Paloma:
She had some weed and peed in her pants

Tatiana:
She can sing but nobody knows it

Code:
He was celibate for 7 months

Uti:
He was a Britney Spears groupie/fan

Sheila:
She is afraid/phobic of/about short people

Yacob:
He has never been in love

Sammy:
He had a love child who died

Munya:
He screen-kissed a guy when he was acting in a movie

Kaone:
He assaulted a friend of his with a bowl of eggs and got locked up.
 
Aisee wanadada Tapuwa Mhere wa Zimbabwe? ajarudi ? kati ya warembo niliyokuwa na wapenda huyu ni mmoja wapo.
 
Ningependa kumwona mwisho akiwa karibu na Jennifer ili amnase na aje naye Bongo land. Kifaa hicho cha msumbija kinanikonga moyo mie !!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom