BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

Status
Not open for further replies.
Another Housemate to leave the house... today two housemates are to be evicted, who's next? Is it Munya? Is it Tatiana?
 
Oh noooo... A new house for housemates... I know housemates will need to leave it ASAP. Jumba bovu si mchezo
 
Dah hilo si mchezo kule naona watakimbia wenyewe!! yale mabakuli duh yalikuwepo enzi za ujima
 
Hii twist ya leo nimeipenda mana Tatiana alikuwa anajaribu kucontrol mshangao wake kwa early eviction afu yeye ndo HoH!..
 
WOW! The rules changed, both Kaone and Tatiana are back to the house!

Mkuu Asante kwa Update. Hata mimi nilihisi kuwa hii eviction itakuwa fake tu, maana haiwezi kuwa ndani ya wiki moja akachomoa watu, ila mwaka jana alitoa mtu kikweli wiki ya kwanza nadhani. Hata hivyo game la mwaka huu ni kali kuliko tulivyodhani kuwa litaboa, naona mpambano kama ni mgumu kiasi kikubwa sana, Munya na Merly wapause action zao hapo hapo maana wakishenda mbali zaidi watu watawachoka na kuwaema
 
Mbogela mpaka big brother ndo uaonekana?
Ha ha ha ha The Boss unanionea mkuu gonga hapo kwenye jina langu alafu fuatilia thread zangu utaona nipo mwaka mzima ndani ya nyumba, ila Signature na avatar hubadirika na BBA ha ha ha. Mpambano ni mkali tulidhan utaboa lakini naona full muzukis
 
Mimi nasubiria wahamie jumba jipyaaaa... Hapo ndo mchezo utanoga, najua watanuna kwelikweli na huenda wakadhani wanalipiziwa kwa kugoma kwao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom