Jamani mwenye uzoefu na hii simu bold 9700 nimejaribu kufa config..ya internet lakini iko down sana kiasi kwamba kufungua page nachukua dakika kama 2-3.Vipi ni mataizo ya hizi simu, au kuna vitu nakosea?
Hlp please
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.