BAWACHA mnaiangusha CHADEMA!

REMSA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,579
947
Naomba niwakumbushe viongozi wa BAWACHA kuwa mna jukumu la kufanya kuharakisha ukombozi wa Tanzania.

Viongozi wa BAWACHA baada ya kumaliza Bunge tunaomba sasa tuwasikie mkiwa kwenye M4C kama inavyosikika BAVICHA.Kwa taarifa yenu wanawake wengi hasa vijijini wanahitaji kuamshwa.

Leo hii ikiitishwa mikutano ya CCM wanaojaa kwenye mikutano ni wamama na kanga zao, na ikumbukwe wanawake ndio waelimishaji na wahamasishaji wazuri.
 
ni kweli hapo umenena, bawacha chukueni hatua no time to waste, ni wakati wa kitanda kwa kitanda, mvungu kwa mvungu sasa, hakuna lingine.
 
Susan Lyimo,makamu mkt
Naomi kaihula, katibu mkuu
Subira naibu katibu mkuu
Mariam Msabaha makamu mkt Zbar....
Kimsingi hakuna wanachokifanya,na wanataka kugombea tena muwaulize wameifanyia nn BAWACHA mpaka wagombee tena?
 
Hawa BAWACHA mwenyekiti wao aliambiwa kuwa hajaqualify kuwa mbunge wa viti maalum. Hiyo ni kumaanisha kuwa BAWACHA haipe heshima na chama, ndio maana iko dormant...
 
Susan Lyimo,makamu mkt
Naomi kaihula, katibu mkuu
Subira naibu katibu mkuu
Mariam Msabaha makamu mkt Zbar....
Kimsingi hakuna wanachokifanya,na wanataka kugombea tena muwaulize wameifanyia nn BAWACHA mpaka wagombee tena?

Naiomba wanachama wa BAWACHA wawe makini katika kuchagua viongozi wakuu wa baraza lao. Ombi langu maalum ni kuwapiga chini viongozi wote waliomo kwenye secretariate ya baraza kwani wanaonekana kuwa wao ni watu wa kukaa ofisini wakati huu siyo muda wa kufanya hivyo
 
Mie naamini wanajipanga
vyema wapeni time. Time will tell. Uchaguzi bado aliyekuambia wanagombea nani?????
 
Ni kweli mkuu kwa hali ilivyo yanahitajika mabadiliko,maana wamepwaya sana.
 
Mie naamini wanajipanga
vyema wapeni time. Time will tell. Uchaguzi bado aliyekuambia wanagombea nani?????

Sasa kujipanga huku kunachukua miaka mingapi?maana kuna wakati uliletwa uzi hapa na wakaahidi
kuwa sasa watasikika,lakini ndio kwaanza tunaona wanazidi kuwa likizo.wanaweza kujipanga kwa
miaka 50 kama CCM,siamini kama CDM wana muda huo wa kuwasubiri hawa BAWACHA kuendelea
kujipanaga kwa miaka kadhaa.
 
Naomba niwakumbushe viongozi wa BAWACHA kuwa mna jukumu la kufanya kuharakisha ukombozi wa Tanzania.

Viongozi wa BAWACHA baada ya kumaliza Bunge tunaomba sasa tuwasikie mkiwa kwenye M4C kama inavyosikika BAVICHA.Kwa taarifa yenu wanawake wengi hasa vijijini wanahitaji kuamshwa.

Leo hii ikiitishwa mikutano ya CCM wanaojaa kwenye mikutano ni wamama na kanga zao, na ikumbukwe wanawake ndio waelimishaji na wahamasishaji wazuri.
Good point indeed
 
Katika kuelekea uchaguzi wa 2015 kila mmoja ndani ya CHADEMA anatakiwa kuwajibika kwa nafasi yake ndan ya chama kwa pamoja kama kweli 2nahtaj mageuz ya kuundoa mfumo wa utawala wa CCM ulioshindwa.Katika hili uwajibikaji kwa upande wa BAWACHA ni kama haipo na hili ndio kundi ambalo lingeweza kuwaunganisha wakinamama ambao ndio wamekua mara nyingi wapiga wengi kuliko kundi lolote ndan ya jamii.Kunahtajka mabadiliko ya haraka ndan ya BAWACHA la svyo CDM tutaishia kulalamika.ESTER WASSIRA AMEONYESHA WELED WA HALI YA JUU KATIKA KUJENGA HOJA NA MAONO YA MSINGI KWA KIPINDI KIFUPI NDAN YA CDM HVYO ANGEINGIA KATIKA BAWACHA ILI KUWAUNGANISHA WAKINA MAMA KUIUNGA MKONO CDM UONGOZ UZINGATIE NAFAS YA KINA MAMA KATIKA KUCHUKUA DOLA 20I5 NI KUBWA HVYO MKAKAT NI MUHIMU KWA KUNDI HILI KWA MASLAH YA TAIFA NA CDM NAWASILISHA
 
Nakuunga mkono,BAWACHA ipo kimya sana,tunasikia BAVICHA(Heche)
Tunahitaji mtu kama Easter wassira,huyu kamanda ni mpiganaji,msomi atatufaa sana kuwaamsha wanawake.Tukiweza kuwaconvice wanawake,2015 tunachukua nchi kiulaini
 
Nikisikiaga kitu kinaitwa BAWACHA natamani kutofuatilia mambo ya siasa,nimeshasema mara kadhaa
BAWACHA ni janga ndani ya CDM,kuna wakati mpaka ilimlazimu DR kuja kujibu hoja hapa jamvini na
tukaambiwa sasa tutawasikia,lakini cha kusikitiasha ndio wamezidi kuwa kimya.Kama kuna eneo linalohatarisha
ushindi wa CDM ambao uko wazi 2015,ni BAWACHA."Mna bahati nyinyi wamama wa CDM kazi yangu hainiruhusu
kujihusisha na siasa,ningeanza huko chini na moto wangu mngechangamka wenyewe.Agh.......may be wanapoingia
kama akina Esther Wasira wakiingia ndani ya BAWACHA wanaweza kuleta CHANGAMOTO.
 
ni kweli anaumuhimu wake. Lakni kumbuka katiba ya cdm haina mianya ya uteuzi uteuzi. Ukitaka uongoze bawacha lazima uchaguliwe. So ajipanga hata next time agombee nafasi ndani ya bawacha. Ila c lazima awe kiongozi ndani ya cdm maadam ni mwanachama mchango wake utapokelewa na anaweza akaongezwa ktk M4C japo c kiongozi kama tunavyo muona kamanda Mawazo, Ally Bananga na wengine wengi tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom