BAWACHA mnaiangusha CHADEMA!

Akina Esta Wasira, ndio wanahitajika sana BAWACHA. Hata BAVICHA iko ngazi ya Taifa tu, tuach unafiki na kujenga hivi vyombo viwili. Kitu kinachoniudhi sana, kuna viongozi feki ambao hujitokza wakati viongozi wa kitaifa wanapokuja. Siku hizi wanaumbuliwa, maana huwa hawana uthibitisho wa kutenda kazi. Dk huwa anawapiga chini mara moja. Sasa wanawake nao wamekuwa waoga sana, sijui wamerogwa na zile kanga zenye picha huku. Hebu wanawake zungunzeni, au tufute viti maalumu kabisa kama hamtaki uongozi.
 
Ni kweli mkuu unachokisema
 
siku zote Mungu hufanya njia pasipo na njia. Ndo maana twasema chadema inachukua Nchi. Nani alijua kama nchi hii ina wanawake vichwa kama estha?. Wengi watakuja sababu huu ni mpango wa Mungu kwa watanzania kufika nchi ya ahadi. mia
 
ni kweli anaumuhimu wake. Lakni kumbuka katiba ya cdm haina mianya ya uteuzi uteuzi. Ukitaka uongoze bawacha lazima uchaguliwe. So ajipanga hata next time agombee nafasi ndani ya bawacha. Ila c lazima awe kiongozi ndani ya cdm maadam ni mwanachama mchango wake utapokelewa na anaweza akaongezwa ktk M4C japo c kiongozi kama tunavyo muona kamanda Mawazo, Ally Bananga na wengine wengi tu.
Kwa manufaa ya CDM UONGOZ ULIOPO UNGEONDOLEWA UWEKWE WA MUDA MPAKA KIPIND CHA UCHAGUZ NDAN YA CDM YAFANYIKE MAAMUZ MAGUMU 2SIANGALIANE SURA WAKATI UWAJIBIKAJ HAMNA
 
Wazo hili ni jema,hata jana wakati nachangia sehem fulani nilisema esther kaja wakati sahihi ktk chama,na ifahamike kuwa hivi sasa kuna shughuli za uchaguzi ndani ya chama kuanzia mashinani mpaka taifa hapo mwakani,ni sehem nzuri kuanza kumuandaa awe kiongozi mzuri japo kwa sasa anaweza kujikita kujenga chama pia afahamike vizuri ukizingatia watu wenye coverage ya tv si wengi,so m4c is good for her na hizi chaguzi ndogo zitamfanya atoke kwenye mstari wa pambizo na kuingia site kuona na kujifunza kazi za site kweye ujenzi wa chama.pia tuendelee kumtia moyo ktk kazi hii ngumu ya reform tz yetu.
 
Akina Esta Wasira, ndio wanahitajika sana BAWACHA. Hata BAVICHA iko ngazi ya Taifa tu, tuach unafiki na kujenga hivi vyombo viwili. Kitu kinachoniudhi sana, kuna viongozi feki ambao hujitokza wakati viongozi wa kitaifa wanapokuja. Siku hizi wanaumbuliwa, maana huwa hawana uthibitisho wa kutenda kazi. Dk huwa anawapiga chini mara moja. Sasa wanawake nao wamekuwa waoga sana, sijui wamerogwa na zile kanga zenye picha huku. Hebu wanawake zungunzeni, au tufute viti maalumu kabisa kama hamtaki uongozi.

Mkuu uko sahihi siku ikitangazwa kufutwa viti maalum naona hawa wamama na wadada wa BAWACHA
watachangamka,yaani wako kimaslahi binafsi zaidi kuliko maslahi ya chama.
 
Kaingia jana leo tunataka tumpe uongozi, tumpe muda wa kumchunguza kwani hata tunao ona kwa sasa hawafai mwanzoni tuliona wanatufaa ndo tukawachagua. Au ile kauli ya Bw. Six ya kuwa ndani ya Chadema hakuna Viongozi ndo inatusumbua?. Tujipange tusishobokee hoja za muda ambazo hatujui kama zitadumu.
 
Nikisikiaga kitu kinaitwa BAWACHA natamani kutofuatilia mambo ya siasa,nimeshasema mara kadhaa
BAWACHA ni janga ndani ya CDM,kuna wakati mpaka ilimlazimu DR kuja kujibu hoja hapa jamvini na
tukaambiwa sasa tutawasikia,lakini cha kusikitiasha ndio wamezidi kuwa kimya.Kama kuna eneo linalohatarisha
ushindi wa CDM ambao uko wazi 2015,ni BAWACHA."Mna bahati nyinyi wamama wa CDM kazi yangu hainiruhusu
kujihusisha na siasa,ningeanza huko chini na moto wangu mngechangamka wenyewe.Agh.......may be wanapoingia
kama akina Esther Wasira wakiingia ndani ya BAWACHA wanaweza kuleta CHANGAMOTO.
Kwa kweli, pamoja na majukumu mengi ya katibu mkuu, namuona huruma sana lakini ananipa mfano wa jinsi kiongozi anatakiwa kuwa. Aishughulikie hii Bawacha na Bavicha Left, right, forward and bacward. Nasema kutoka moyoni bawacha ni chombo muhimu sana, lakin hamasa imekua ndoga sana. Mimi binafsi niko front, lakini napata muda mgumu sana kuelewa viongozi waliopo wanafanya nini ndani ya Bawacha na Bavicha kuimarisha uongozi hadi angalau ngazi za Kata. Yaani kila kitu afanye Katibu mkuu na Mwenyekiti wa Taifa? Kuna kujisahau ukakuta unahutubia mikutano ya hadhara halafu ukasahau kuweka structure ya uongozi, mkutano ukiisha na chama kinahama hilo eneo. Let us realy be careful in this. Swali: MKiti wa Bawacha na Bavicha Taifa, mmeshawahi kukagua ofisi zenu za mikoa na wilaya Tanzania? Kuna wanachama wangapi? Vikao vina fanyika, ngazi za kata na matawi zimekamilika? Na uhakika hamna majibu. Sasa siku nikirudia kuuliza hili swala basi itabidi muwajibike. Hii sio CCM ni CDM.
 
Mkuu uko sahihi siku ikitangazwa kufutwa viti maalum naona hawa wamama na wadada wa BAWACHA
watachangamka,yaani wako kimaslahi binafsi zaidi kuliko maslahi ya chama.
Mkuu upo na mimi wapo kwa ajili ya viti maalum sio kw maslah ya CDM waondolewe mara moja
 
Kwa kweli, pamoja na majukumu mengi ya katibu mkuu, namuona huruma sana lakini ananipa mfano wa jinsi kiongozi anatakiwa kuwa. Aishughulikie hii Bawacha na Bavicha Left, right, forward and bacward. Nasema kutoka moyoni bawacha ni chombo muhimu sana, lakin hamasa imekua ndoga sana. Mimi binafsi niko front, lakini napata muda mgumu sana kuelewa viongozi waliopo wanafanya nini ndani ya Bawacha na Bavicha kuimarisha uongozi hadi angalau ngazi za Kata. Yaani kila kitu afanye Katibu mkuu na Mwenyekiti wa Taifa? Kuna kujisahau ukakuta unahutubia mikutano ya hadhara halafu ukasahau kuweka structure ya uongozi, mkutano ukiisha na chama kinahama hilo eneo. Let us realy be careful in this. Swali: MKiti wa Bawacha na Bavicha Taifa, mmeshawahi kukagua ofisi zenu za mikoa na wilaya Tanzania? Kuna wanachama wangapi? Vikao vina fanyika, ngazi za kata na matawi zimekamilika? Na uhakika hamna majibu. Sasa siku nikirudia kuuliza hili swala basi itabidi muwajibike. Hii sio CCM ni CDM.
Hamna kosa kubwa ndan ya CDM kama kuiga mambo ya CCM KATIKA MAMBO YA MSINGI KAMA HAYA
 
Kaingia jana leo tunataka tumpe uongozi, tumpe muda wa kumchunguza kwani hata tunao ona kwa sasa hawafai mwanzoni tuliona wanatufaa ndo tukawachagua. Au ile kauli ya Bw. Six ya kuwa ndani ya Chadema hakuna Viongozi ndo inatusumbua?. Tujipange tusishobokee hoja za muda ambazo hatujui kama zitadumu.
Mkuu mawazo yako ndio yanafanya taifa hili nyuma kila uchao
 
mweyekiti wa bawacha ni nani ??
katibu wa bawacha ni nani??
ulivyotaja bawacha kwanza niliwazza nini hicho sikujua kama ni baraza la wanawake wa chadema basi kuna haja ya kuwatafuta wanawake wenye hamasa na mvuto mzuri wa kujenga hoja ili iimarishwe kama siyo kufufuliwa kabisa.
 
Na ndio maana ya mada yngu
 
Wapiga kura wengi ni akina mama, CHADEMA imekalia vijana tu, wenzao CCM wanawekeza kweli UWT huku BAWACHA wapo akina suzan lyimo hakuna wanachofanya zaidi ya kupiga misele marekani na ulaya, upofu wa viti maalumu, kama vipi BAWACHA ivunjwe na kuundwa upya mambo ya kugawana vyeo hayawatofautishi na chama tawala.
 
Mkuu umesema vizuri cheki hii sinema inayoendelea na UWT na mama Asha Migiro nyuma ya pazia kuna siri nzito
 
Kwa kweli, pamoja na majukumu mengi ya katibu mkuu, namuona huruma sana lakini ananipa mfano wa jinsi kiongozi anatakiwa kuwa. Aishughulikie hii Bawacha na Bavicha Left, right, forward and bacward. Nasema kutoka moyoni bawacha ni chombo muhimu sana, lakin hamasa imekua ndoga sana. Mimi binafsi niko front, lakini napata muda mgumu sana kuelewa viongozi waliopo wanafanya nini ndani ya Bawacha na Bavicha kuimarisha uongozi hadi angalau ngazi za Kata. Yaani kila kitu afanye Katibu mkuu na Mwenyekiti wa Taifa? Kuna kujisahau ukakuta unahutubia mikutano ya hadhara halafu ukasahau kuweka structure ya uongozi, mkutano ukiisha na chama kinahama hilo eneo. Let us realy be careful in this. Swali: MKiti wa Bawacha na Bavicha Taifa, mmeshawahi kukagua ofisi zenu za mikoa na wilaya Tanzania? Kuna wanachama wangapi? Vikao vina fanyika, ngazi za kata na matawi zimekamilika? Na uhakika hamna majibu. Sasa siku nikirudia kuuliza hili swala basi itabidi muwajibike. Hii sio CCM ni CDM.

CCM inajivunia sana kupata ushindi kwa sababu ya wanawake,maana ikumbukwe wanawake wa Tanzania
hawana mwamko kwenye mambo ya siasa hasa ili leya ya chini ndio maana wanadanganywa kwa kanga
tu wanatoa kura zao.Wamama wa Tanzania wanahitaji hamasa na kusaidiwa wajue umuhimu wa mabadiliko
na hili lingefanya kazi sana kama BAWACHA wangezunguka na M4C yao kama BAWACHA na kukutana na
wanawake na kuweka msingi kuanzia ngazi ya chini kabisa,hasa vijijini.Maana ikumbukwe wanawake si
wafutiliaji sana wa mambo ya siasa na ukiwauliza kitu kinahusu wanawake wao wanajua UWT tu.Please
tumeshatoa wito kwenu mara kadhaa akina Naomi Kaihura lakini mnaonekana mmeweka pamba masikioni.
 
Nilikuwa najiuliza dr wa ukweli kakumbwa na nini hadi kwenda kugawa kadi kwa wale wadada wawili tu? Sasa nimejua kwa nini. Alikuwa anajua anachokifanya. Huyu dada ni potential kubwa sana kwa cdm. Tusubiri tumuone na yule nduguye. Naona mzee wa g.. Mbe roho inamuuma kweli.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom