BAVICHA yakamata Nchi

BAVICHA yakamata Nchi

There are many types of followers, but I am going to mention only two types of followers I know:
1) Sheep followers-they are not assertive, they tend to agree with anything a leader does or says even if it's wrong,They are there to please their leaders, and normally they can't be valuable advisers to the leader because of their 'yes Sir' attitude.

2) Independent followers-they are very assertive and outspoken followers, they like to speak out their minds. They are the valuable asset to their leader.Any leader who has got self-confidence,high self-esteem and who want to be successful will turn to independent followers.

Where do you fall into these two types of followers?Kabla ya kubishana sana na wewe ni vyema kwanza ukajielewa wewe ni nani na mimi pia nikufahamu wewe ni mtu wa muundo gani,kisha ndo tusonge mbele na majibizano.
Hebu tuondolee uchafu wako uliocopy huko wikipidia
 
..that fine with me as long as wanafanya kazi.

..Bawacha nao wachape kazi, au wao hawataki posho?

Posho aisee, wanasubiri mgao mwingine kutoka bungeni wa posho maana waliunga mkono kwa asilimia 100 nyongeza ya posho teh teh UKAWA kwa posho ni sheedah
 
Last edited by a moderator:
Hivi mkuu wewe hua unakumbuka hata kujiswafi ukitoka chooni.? manake hata mdomo wako unaonekana unanuka sana

mkuu kamkumbushe babu kama ameshawalipia kodi makao makuu yenu ya ofisi au RUZUKU mnayopewa na Serikali ya ccm haijafikA?
 
mkuu kamkumbushe babu kama ameshawalipia kodi makao makuu yenu ya ofisi au RUZUKU mnayopewa na Serikali ya ccm haijafikA?

Unamwona kamanda huyu

Hii ni kazi ya BAVICHA
Sugu Msigwa8.jpg
 
Mkuu hao jamaa wa CCM walikuwa wanaigiza au ilkuwa show ya ukweli baada ya mtia nia kuwaachia faranga wagawane?
hapo walidhulumiana hela ya rushwa waliyopewa katika uchaguzi wa uvccm uliopita , ninayo majina yao yote , la mtoa rushwa na ya hao wote wanaotoana damu hapo , bali kwa sababu za kidini ikizingatiwa kuwa huu ni mwezi mtukufu sitawataja ; ccm hawajawahi kutaniana mkuu . ukiona wameshikana basi ujue ni ngumi tu , hakuna cha mswalie mtume !
 
CHADEMA imekuwa jamani....Sasahivi majimboni CHADEMA haina shida ya watu....watu wanatosha....

Changamoto inayoikumba CHADEMA ni kwendana na ukuaji wa ghafla wa chama

ushauri wako nimeufikisha kwa Mwenyekiti .
 
kwa niaba ya familia yangu ilyoko tandika mwembeyanga karibu na transforma , nakushukuru kwa picha mkuu .

Kwa niaba yako mwenyewe unayejidanganya kuhamasisha watu amabao wanajua nini wanatakiwa kufanya, pole sana mkuu wenzenu CCM wanaendelea kupiga kazi image.jpg
 
Makamanda ngumi mkononi wakipewa haki yao mara baada ya kukaidi amri halali ya polisi ya kuwataka kusitisha maandamano yao yasiyokuwa na kibaliView attachment 261462

nakuunga mkono nchi hii imekombolewa kwa jasho na damu , tunawaombea Mungu awapunguzie adhabu makamanda wote waliopoteza maisha kwenye uwanja wa mapambano ya ukombozi AMINA .
 
Back
Top Bottom