BAVICHA yakamata Nchi

BAVICHA yakamata Nchi

CHADEMA imekuwa jamani....Sasahivi majimboni CHADEMA haina shida ya watu....watu wanatosha....

Changamoto inayoikumba CHADEMA ni kwendana na ukuaji wa ghafla wa chama
 
CHADEMA imekuwa jamani....Sasahivi majimboni CHADEMA haina shida ya watu....watu wanatosha....

Changamoto inayoikumba CHADEMA ni kwendana na ukuaji wa ghafla wa chama

CDM haina wanachama ina wachumia tumbo!kivumbi utakiona Oktoba ndo utashangaa teh teh teh!
 
CHADEMA imekuwa jamani....Sasahivi majimboni CHADEMA haina shida ya watu....watu wanatosha....

Changamoto inayoikumba CHADEMA ni kwendana na ukuaji wa ghafla wa chama

Nikweli mkuu hata hivyo panapokuwa na mafanikio lazima changamoto ziwepo.
 
Baraza la Vijana CHADEMA limejipambanua kama Baraza bora kabisa la vijana katika vyama vyote vya siasa hapa nchini.

Mwenyekiti wa BAVICHA Patrobass Katambi amelijenga Baraza hilo kama Taasisi imara kabisa tofauti na mtizamo wa baadhi ya watu siku za nyuma.

Ni takribani miezi miwili sasa viongozi wote wa BAVICHA wako mikoani na vijijini sehemu tofauti za nchi wakihamasisha operesheni yao ya BVR Shahada mkononi kuhamasisha watu kujiandikisha kupiga kura.

Kwa mfano kwa sasa Mwenyekiti wa Taifa Patrobass yuko mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki akifanya mikutano ya hadhara na ya ndani kuhamasisha zoezi hilo na ujenzi wa chama.

Makamu Mkiti Patrick Ole Sosopi akiwa na viongozi wengine wa baraza hilo wanaongoza hamasa kubwa mikoa ya Kanda ya kaskazini na mikutano yao imeitisha CCM

Katibu Mkuu Bavicha Julias Mwita na Katibu Mwenezi Edward Simbeye wanatikisa mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria huku idadi kubwa ya wananchi ikiwaunga mkono kote wanakopita.

Wanachama wengi wa CHADEMA wamepongeza kazi kubwa inayofanywa na BAVICHA kote nchini na ni urithi bora kabisa kutoka kwa viongozi mashuhuri nchini Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa.

Hongereni BAVICHA...Endelezeni mapambano!!

  • Hapa ni mikoa Mbalimbali Vijana wetu wa Bavicha wakiwa kwenye matukio. Bavicha wamekua tegemeo kubwa sana kwa vijana wa Tanzania na mpaka sasa hivi ndio Baraza bora la vijana kwenye vyama vya siasa
    paperclip.png
    Attached Thumbnails

Asanteni Sana Bavicha kwa ziara zilizoweza kuwaelimisha wananchi wa Tanzania
 
Attachments

  • IMG-20150618-WA0043.jpg
    IMG-20150618-WA0043.jpg
    24.2 KB · Views: 410
  • IMG-20150618-WA0044.jpg
    IMG-20150618-WA0044.jpg
    37.1 KB · Views: 399
  • IMG-20150618-WA0051.jpg
    IMG-20150618-WA0051.jpg
    32.1 KB · Views: 397
  • IMG-20150618-WA0050.jpg
    IMG-20150618-WA0050.jpg
    36.1 KB · Views: 407
  • IMG-20150618-WA0053.jpg
    IMG-20150618-WA0053.jpg
    42.1 KB · Views: 412
Mkuu Molemo usisahau shahada ya kupigia kura tummeibadilisha jina sie Ukawa, saa hivi tunaiita 'kichinjio'. Kichinjio cha kuichinjia CCM mnamo mwezi Oktoba, kwahiyo waambieni watanzania kabisa kila mtu ahakikishe ana kichinjio chake tayari kuichinja chinja CCM
Nimeipenda hii kauli mbiu
 
Sawa mkuu...wewe ni mchumia Kei au mchumia nini?

Endelea kutumika dogo!na matumaini yenu mnayopewa ya kwenda IKULU wakati wenzenu makao makuu CDM wanakula Ruzuku,mtaingia kwenda kunywa juice tu wakati wa dhifa ya kitaifa ya RAIS MPYA kutoka CCM au hilo hamlijui?
 
Ukishaona Nyuki wanachikia Ufisadi nakumtoa mbia mzee wa Upara aka Tembo Man basi jua mwisho wa ccm ni october
 
Back
Top Bottom