BAVICHA yakamata Nchi

BAVICHA yakamata Nchi

hawa vijana hii mipango yao wameanza muda muafaka , wakati magamba yanagalagazana wao wanaelimisha umma !
 
Baraza la Vijana CHADEMA limejipambanua kama Baraza bora kabisa la vijana katika vyama vyote vya siasa hapa nchini.

Mwenyekiti wa BAVICHA Patrobass Katambi amelijenga Baraza hilo kama Taasisi imara kabisa tofauti na mtizamo wa baadhi ya watu siku za nyuma.

Ni takribani miezi miwili sasa viongozi wote wa BAVICHA wako mikoani na vijijini sehemu tofauti za nchi wakihamasisha operesheni yao ya BVR Shahada mkononi kuhamasisha watu kujiandikisha kupiga kura.

Kwa mfano kwa sasa Mwenyekiti wa Taifa Patrobass yuko mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki akifanya mikutano ya hadhara na ya ndani kuhamasisha zoezi hilo na ujenzi wa chama.

Makamu Mkiti Patrick Ole Sosopi akiwa na viongozi wengine wa baraza hilo wanaongoza hamasa kubwa mikoa ya Kanda ya kaskazini na mikutano yao imeitisha CCM

Katibu Mkuu Bavicha Julias Mwita na Katibu Mwenezi Edward Simbeye wanatikisa mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria huku idadi kubwa ya wananchi ikiwaunga mkono kote wanakopita.

Wanachama wengi wa CHADEMA wamepongeza kazi kubwa inayofanywa na BAVICHA kote nchini na ni urithi bora kabisa kutoka kwa viongozi mashuhuri nchini Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa.

Hongereni BAVICHA...Endelezeni mapambano!!


  • Hapa ni mikoa Mbalimbali Vijana wetu wa Bavicha wakiwa kwenye matukio. Bavicha wamekua tegemeo kubwa sana kwa vijana wa Tanzania na mpaka sasa hivi ndio Baraza bora la vijana kwenye vyama vya siasa
    paperclip.png
    Attached Thumbnails



    • paperclip.png
      Attached Thumbnails





Hongera BAVICHA kwa kutuongoza kuelekea magogoni -hakuna kulala mpaka tufike magogoni. Hili genge la watuhumiwa wa ufisadi, unafiki na rushwa haliwezi kuendelea kutudidimiza na umaskini.
 
Pia fanyieni kwanza hili la kila mwaka kwa nini CDM wanapewa hati ya mashaka kutoka kwa CAG kwa ufisadi wa kutafuna Ruzuku wanayopewa na Serikali ya CCM?

safi sana bavicha uku kwetu jambazi lowasa ameanza kampeni ughambani hatuna cha kufanya ccm iko mfukoni mwa chenge
 
safi sana bavicha uku kwetu jambazi lowasa ameanza kampeni ughambani hatuna cha kufanya ccm iko mfukoni mwa chenge

Wewe macho yako huwa yanafanya kazi kama ya chura kuona kumbikumbi na wadudu tu! Pole compaign manager wa BAVICHA magogoni ina wenyewe!
 
nikiwa kama mwanabavicha hai ninayeelekea kumaliza shahada yang ya siasa hapa udsm in two weeks to come nafarijika kuona timu ninayoenda kufanya nayo kazi, makamanda asant sana mm nimeapa kupambana na dodoma mpaka pakae sawa, wagogo wanapenda mabdliko na mwaka wao ni huu kufuta uteja
 
Back
Top Bottom