Kazi inayofanywa ni ya kutukuka
huna lolote,maneno matupu na tantalilaHuwezi kunielewa ninachokimaanisha.My mind works in a 4 dimensional way, it's no easy to see what I see.
Siasa Zilizofanywa Na Chadema Miaka Mitano Hii Ni Siasa Zenyewe Hazijawai Kufanywa Na Chama Chochote Hapa Duniani, Kweli Chadema Ni Mpango Wa MUNGU
huna lolote,maneno matupu na tantalila
Mkuu Molemo usisahau shahada ya kupigia kura tummeibadilisha jina sie Ukawa, saa hivi tunaiita 'kichinjio'. Kichinjio cha kuichinjia CCM mnamo mwezi Oktoba, kwahiyo waambieni watanzania kabisa kila mtu ahakikishe ana kichinjio chake tayari kuichinja chinja CCM
Bavija Nivijana bora sana na kazi yao imetukuka
pingeni mafao ya kufuru mtakayolipwa!!!
kama kweli mnauzalendo!
hospitali hakuna madawa
walimu wanamadai lukuki
Neno CCM halitakiwi kuwemo kwenye kaulimbiu ya UKAWA, itachanganya watu...! Unaipa CCM promo bure...! Nawaza tu.Mkuu Molemo usisahau shahada ya kupigia kura tummeibadilisha jina sie Ukawa, saa hivi tunaiita 'kichinjio'. Kichinjio cha kuichinjia CCM mnamo mwezi Oktoba, kwahiyo waambieni watanzania kabisa kila mtu ahakikishe ana kichinjio chake tayari kuichinja chinja CCM
mkuu umepotea njia ?pingeni mafao ya kufuru mtakayolipwa!!!
kama kweli mnauzalendo!
hospitali hakuna madawa
walimu wanamadai lukuki
u.v.c.c.m wapo icu!
u.v.c.c.m wapo icu!
Kazi ya Mungu inaendelea!
Viongozi wake wote wa juu wako kwenye makundi ya wagombea
Hachinjwi mtu hapa..!Mkuu Molemo usisahau shahada ya kupigia kura tummeibadilisha jina sie Ukawa, saa hivi tunaiita 'kichinjio'. Kichinjio cha kuichinjia CCM mnamo mwezi Oktoba, kwahiyo waambieni watanzania kabisa kila mtu ahakikishe ana kichinjio chake tayari kuichinja chinja CCM
Duh...hataree! Unabarikiwa na habari za kuchinjana?
huna lolote,maneno matupu na tantalila