Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Kwi,kwi,kwi,kwi,kwi,kwi,kwi.
Ole wao wanaocheka sasa maana siku na saa inakuja watalia kama kilio cha punda!
Kwi,kwi,kwi,kwi,kwi,kwi,kwi.
Ebwanaeee!
Mahaba niue, ndo maana umezeeka kabla ya muda teh teh teh!
Majungu na uongo uongo vimekutawala ukimuona Kinje unaanza kujiharishia!
Ole wao wanaocheka sasa maana siku na saa inakuja watalia kama kilio cha punda!
Duuuuuuu!
Hakuna kulala wala kusinzia....pia na vijana wa bavicha kusin,sasa hivi ni mwendo wa vijiji kwa vijiji
kazi nzuri tuko pamoja
Mkuu hao jamaa wa CCM walikuwa wanaigiza au ilkuwa show ya ukweli baada ya mtia nia kuwaachia faranga wagawane?wakati vijana wao wanatwangana na kuuana kugombea posho za wagombea urais ( inasemekana ndio rushwa kubwa zaidi ya uchaguzi kuwahi kutolewa na watia nia duniani ) sisi tunasonga mbele .
kazi nzuri tuko pamoja