Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Saa zakujifungia na fisi zimefika nenda kakojoe ulale wewe
Wala sishangai toka asubuhi unakunywa viroba unategemea majibu yako yaweje!nguvu nyingi akili kidogo teh teh teh!
Saa zakujifungia na fisi zimefika nenda kakojoe ulale wewe
Endelea kutumika dogo!na matumaini yenu mnayopewa ya kwenda IKULU wakati wenzenu makao makuu CDM wanakula Ruzuku,mtaingia kwenda kunywa juice tu wakati wa dhifa ya kitaifa ya RAIS MPYA kutoka CCM au hilo hamlijui?
Mkuu ufisadi wa posho...wanamfisidi nani>?
Wewe ni fisadi wa nini?
Mkuu kaa pembeni inaelekea hujua kama CDM wana ufisadi wa posho teh teh pole kijana inaelekea una mahaba sana!
Wala sishangai toka asubuhi unakunywa viroba unategemea majibu yako yaweje!nguvu nyingi akili kidogo teh teh teh!
Kazi ya Mungu inaendelea!
Acha kujifariji mkuu, naona umechoka umeamua kutetea mamba utaliwa mkuu!
Mkuu umejisafisha kweli wewe? mbona unanuka?
Kivipi? Kwani BAVICHA ni watumishi wa MUNGU
wewe umeshaliwa na wangapi?
Asanteni Sana Bavicha kwa ziara zilizoweza kuwaelimisha wananchi wa Tanzania
Naona unashindana na jua!
wewe majibu yako yakoje....umekunywa nini wewe?
Mwambieni babu ananuka na dhambi ya kuiba mke wa Mtu, 2010 laana ilimtafuna akakosa kibali this time msihangaike nae mtachijwa kwa jiwe![/QUO
Wewe umeibwa na Kinana?
Hiyo ndo akili yenu mnalala mnaweweseka kuokolewa na mwiZi wa wake za watu!
..Mbona BAWACHA hatuwasikii?
..hii Jumuiya nilidhani itakuja kwa kasi zaidi baada ya Halima Mdee kuchaguliwa kuiongoza.
..jamani tusije tukalaumiana Oct mwaka huu, lakini nadhani BAWACHA wanapaswa kuongeza nguvu ktk uhamasishaji.
cc Tumaini Makene, Chademakwanza, Mag3, Molemo, Nguruvi3, Ben Saanane, Mkandara
Una hamu ya kulalwaa eeeh? manake unaonea wivu mwanamke mwenzio?
Mwambieni babu ananuka na dhambi ya kuiba mke wa Mtu, 2010 laana ilimtafuna akakosa kibali this time msihangaike nae mtachijwa kwa jiwe![/QUO
Wewe umeibwa na Kinana?
Freeland utaikuta kuzimu!