BAVICHA yakamata Nchi

BAVICHA yakamata Nchi

Ni kuomba uzima na kwa vijana wetu kuendelea na kuwa na moyo wa ukombozi wa nchi yetu

Vijana wenu!!!, teh teh teh tumika mzee!leo ndo nimegundua wewe mzee unatafuta nini hapa na hata kama unatumiwa jiandae kurest in peace maana wakati huu sio wako!
 
Utaweweseka sana nimesoma michango yako kitambo tu nikaamua nije kutuliza mapepo yako!kwanza nakupa pole kwa kujitoa ufahamu kushabikia siasa za bongo usizojua zinaelekea wapi!

Kwi,kwi,kwi,kwi,kwi,kwi,kwi.
 
Back
Top Bottom