kwa utafiti nilioufanya kwa muda mrefu sana ( miezi 36 ) BAVICHA ndio taasisi pekee ya vijana kwenye ukanda wa maziwa makuu inayofahamika kimataifa .
Siasa Zilizofanywa Na Chadema Miaka Mitano Hii Ni Siasa Zenyewe Hazijawai Kufanywa Na Chama Chochote Hapa Duniani, Kweli Chadema Ni Mpango Wa MUNGU
Safii CDM songa mbele yale MaUvccm yanasaka hela kutoka kwa Wagombea maana ni kipindi cha mavuno kwao!!!JK Uvccm acheni Ukuwadi.
Tumia akili wewe, wapinge mafao kwani wao ndio wamepanga hicho kiasi? Hata wakiacha kitarudishwa kwa hao uliowalenga? Hivi huoni aibu serikali ya ccm kuongelea suala la madawati katika karne hii ya 21? Dawa itanunuliwa na wabunge wa chadema tu> Uzalendo uliofanywa kuwajulisha watu uchafu na upumbavu wa viongozi wa vvm ni mkubwa hujawahi kutokea nchi hii, huoni aibu kuongea kitu cha kipuuzi kilichopangwa na serikali hii dhaifu ya ccm? Kwenda au unataka waache ili wabunge wa ccm wachukue zote?pingeni mafao ya kufuru mtakayolipwa!!!
kama kweli mnauzalendo!
hospitali hakuna madawa
walimu wanamadai lukuki
Bavija Nivijana bora sana na kazi yao imetukuka
wakati vijana wao wanatwangana na kuuana kugombea posho za wagombea urais ( inasemekana ndio rushwa kubwa zaidi ya uchaguzi kuwahi kutolewa na watia nia duniani ) sisi tunasonga mbele .
Chadema ni "kuti bovu" wenye akili lazima wanielewe.
Siasa Zilizofanywa Na Chadema Miaka Mitano Hii Ni Siasa Zenyewe Hazijawai Kufanywa Na Chama Chochote Hapa Duniani, Kweli Chadema Ni Mpango Wa MUNGU
ni siasa za kikakamavu zilizogharimu jasho , pesa , nguvu pamoja na damu , mafanikio hayaji kirahisi hasa kwenye nchi yenye ukandamizaji kama hii .
pingeni mafao ya kufuru mtakayolipwa!!!
kama kweli mnauzalendo!
hospitali hakuna madawa
walimu wanamadai lukuki
Yaani ccm wana tabia ya kinyama kabisa.
Unalalamikia uhaba wa hospitali nchini baada ya miaka 53 ya uhuru?,
Kiongozi nimekuvulia kofia,salute kwa kapicha kazuri
Yaani ccm wana tabia ya kinyama kabisa.
Kijana wa Bavicha aka Buguruni team naona leo uko lindo una hasira sana angalia usipasuke mkuu!
mijitu zaidi ya mia moja inamshambulia kijana mdogo lakini mkakamavu , hata hivyo walichemsha ! ama kweli visukari , presha na vitambi vya ufisadi ni noma sana .