Kwani umeombwa msaada au kishukumudu kinakusumbua?Kupoteza muda tu
Hawana lolote
Labda ukombozi wa wamarangu na wakibosho.Kwakweli nawapongeza Bavicha naona ukombozi unakaribia
NB: kama una akili ya mende huwezi kuelewa namaanisha nini
Mkuu hapo kwenye NB umepasoma?Labda ukombozi wa wamarangu na wakibosho.
Kwanini mkuuSiamini hilo.
Ni kweli kabisa BAVICHA tumeshajiandaa kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano ya hadhara tutatoa ratiba mikoa yote ambayo tutaanzia muda mfupi ujao hakuna kurudi nyuma ni kusonga mbele daima
Huu utoto unazidi kufanya umma uzidi kuwaona wasanii tu. Siasa zinawashinda badala yake mnataka kutumia vijana ili mbaki kwenye headlines. Akili zenu zimeishia hapo? Mkishindwa uchaguzi 2020 mtazira tena matokeo na kuanza kuzuga eti "patachimbika". Badala ya mikakati ya tume huru, katiba mpya iliyopingwa na EL n.k mnacheza rede na CCM while yenyewe ina dola!
Wauliza swali au?Kama mkutano wetu wa ndani kwani kuna tatizo au ni sisi tu
Angenda ni nyingi tuAgenda ya hiyo mikutano ni nini hasa
Habari zilizonifikia mdaa si mrefu ni kuwa Baraza la Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAVICHA, linatarajia kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano ya ndani ya kikatiba.
kwa utaratibu wataanza na Mkoa gani watotoa taarifa siku za karibuni.
Stay tune..
Tu stay tunatune nini?Habari zilizonifikia mdaa si mrefu ni kuwa Baraza la Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAVICHA, linatarajia kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano ya ndani ya kikatiba.
kwa utaratibu wataanza na Mkoa gani watotoa taarifa siku za karibuni.
Stay tune..
Madili ya Kazi yangu hayaniruhusu kusema wongo na kama wewe unasema ni wongo subiri utaona... je nilipi nilishawai leta hapa la wongo je ujaona hata magazeti yameandikaHii taarifa ni ya uongo 100%
Sasa hivi baada ya BAVICHA kudhibitiwa wasizuie mkutano Wa CCM dodoma ku-STEAM out frustration wanakuja humu Jamiiforums na taarifa nyingi za kuzua na kutunga zisizotoka official source.Nimethibitisha kuwa hii taarifa ya mleta maada ni ya uongo na ile ingine ya kusema wanafanya mkutano mkuu wa dharura Dodoma.
Taarifa za uongo kama hizi zinashusha hadhi ya Jamiiforums.Ndio maana nasema ni vizuri source za taarifa zote za Chama ZIWE official sio mtu tu aliyekuwa frustrated anajipostia tu humu taarifa ya kichama wakati ni frustration zake tu zimemjaa zinamsumbua akidhani akiziandika labda zitaleta kitu fulani hewa alichokitarajia.
Niwaombe BAVICHA ambao mkofrustrated kwa mikakati yenu koko kutotimia msilitumie jukwaa la Jamii forums kuendeshea uzushi unaohusu CHADEMA si vizuri.Mnachafua CHADEMA na mnaharibu mfumo wa chama wa utoaji habari muhimu za kiofis.Taarifa zote za kiofisi zina wasemaji wake nyie ambao mko frustrated kaeni mbali na frustration zenu msikilishe CHADEMA maneno ambayo hayapo na kuyaleta Jamiiforums
Baada ya bavicha kuanza vikao vya ndani nchi nzima ndio utuneTu stay tunatune nini?
Bavicha wamewawewesesha sanaNaona vijana wa Chadema ndo Habari ya mjini kwa sasa