BAVICHA kuzunguka nchi mzima kufanya mikutano ya ndani

Japo nipo CCM ila kuwazuwia apinzani kutofanya siasa ni sawa na kujipodoa bila kuwa na kioo! Hata haya majipu yanayotumbuliwa hv sasa yalipigiwa kelele na wapinzani hawahawa.....BAVICHA nawaunga mkono.
 
Hawa nao inaelekea hawana washauri wazuri...kuna haja ya kutangaza kuwa watafanya mikutano ya ndani nchi nzima??...Why can't you learn you people?? Siasa za ujivuni zimepitwa na wakati...Kwa maoni yangu kadri mnavyozidi kupambana na dola ndivyo mnavyozidi kuonekana kuwa ni chama cha fujo....Kama mnafanya mikutano ya ndani hamna haja ya kutangaza kwani hiyo ni mikutano ya ndani...Ila ikiwa hiyo mikutano ya ndani inageuka kuwa ya uchochezi, sasa hapo ni tatizo...
Walshaambiwa chama kmegradueti hawaskii.. Maagzo haya ad ln? Em waambien vjana hao wakafanye kaz wajenge taifa.
 
Huu utoto unazidi kufanya umma uzidi kuwaona wasanii tu. Siasa zinawashinda badala yake mnataka kutumia vijana ili mbaki kwenye headlines. Akili zenu zimeishia hapo? Mkishindwa uchaguzi 2020 mtazira tena matokeo na kuanza kuzuga eti "patachimbika". Badala ya mikakati ya tume huru, katiba mpya iliyopingwa na EL n.k mnacheza rede na CCM while yenyewe ina dola!
So ulirakata wacheze na chama kisichokuwa na dola?
Mbona unajichanfanya sana?
 
Hao vijana ni group la wapumbavu ambao wanatumika na wanaume wenzao.. Zunguka nchi nzima kuwahamasisha vijana wachape kazi na kujenga nchi yao, zunguka nchi nzima kutoa semina za ujasiriamali kwa vijana.. Sasa hao wapuuzi wanazunguka kumsifia lowassa na mbowe
Wewe unazunguka nchi nzima kuhamasisha vijana wachape kazi?
Hivi kazi inahamasishwa watu wafanye?
Nchi hii imeshakwenda mrama siku nyingi kutokana na wapuuzi n wajinga kupewa uongozi wasiouweza.

Kuna watu ni wa kutawaliwa TU milele hata umpe nini hawezi kuongoza nchi
 
Mbona ccm wanatangaza ya kwao hamsemi. Ninyi vibaraka msio na posho.kwani kutangaza kuna ubaya wowote?
 
Hicho wanachokifanya ndicho kilichokuwa kinafanywa na akina Mnyika & co.

Hii ndio future yao, na suala la familia halina muda wa kuandaa; Laja automatically.
Familia tena we unavohisi familia ya mbowe inamaisha magumu
Ndo maana Mzee magu ni mwenyekiti mtarajiwa na anapiga urahisi so siasa ni transition ya kila siku ni mobile activity
So familia zao siko sawa ndo maana hawa kuombi msaada
 
Huu utoto unazidi kufanya umma uzidi kuwaona wasanii tu. Siasa zinawashinda badala yake mnataka kutumia vijana ili mbaki kwenye headlines. Akili zenu zimeishia hapo? Mkishindwa uchaguzi 2020 mtazira tena matokeo na kuanza kuzuga eti "patachimbika". Badala ya mikakati ya tume huru, katiba mpya iliyopingwa na EL n.k mnacheza rede na CCM while yenyewe ina dola!
Polisi na uongozi wa chama chako wanaifahamu zaidi na kuiheshimu CDM. Huoni wanavyobabaika
 
Hawa nao inaelekea hawana washauri wazuri...kuna haja ya kutangaza kuwa watafanya mikutano ya ndani nchi nzima??...Why can't you learn you people?? Siasa za ujivuni zimepitwa na wakati...Kwa maoni yangu kadri mnavyozidi kupambana na dola ndivyo mnavyozidi kuonekana kuwa ni chama cha fujo....Kama mnafanya mikutano ya ndani hamna haja ya kutangaza kwani hiyo ni mikutano ya ndani...Ila ikiwa hiyo mikutano ya ndani inageuka kuwa ya uchochezi, sasa hapo ni tatizo...
Nayo mnaiogopa?
 
Mtu akiwa analeta Uzi wowote,mwisho ni aandike na source.Baadhi wanafanya hivyo,Mara nyingi thread za asubuhi au mchana ndo zina vyanzo mwishoni,hizi nyingine mtu akishakula chakula cha jioni akashiba sana,anaibuka na story yake kichwani.Hii ni story ya kutunga tu.Mkisema BAVICHA kuzunguka nchi nzima mnamaanisha vijana wangapi??,. Juzi juzi,mlisema vijana 4000 wataenda Dodoma,Kwa hesabu ya haraka haraka kila mmoja akitumia Laki moja tu(minimum) ni milioni 400 ingawa mikoa mingine inaishia nauli ya go and return tu na mikoa mingine Hata nauli haitoshi,hizi pesa zingetoka Wapi??,kwahiyo ukifatilia Kwa ukaribu utagundua Kuna uzushi mwingi sana hasa humu JF,kwenye jukwaa la siasa humu JF Kuna makundi mawili makubwa moja CCM na jingine upinzani,ile vita kabla ya uchaguzi wengine wameendeleza mpaka leo,watu wamekuwa addicted na JF ndo maana mtu akikosa habari ya kumfurahisha moyo wake(kuwaudhi wa upande mwingine),anatunga tu,ndo kisa cha mtu kuanza thread na "TETESI".Vijana punguzeni jazba,na kuweni wabunifu,na pitia humu kupata habari,sio kila thread unarumbana tu Masaa yote,kuweni wabunifu fanyeni kazi,wenye vyama wanakula ruzuku tu,nyie mwapoteza muda mwingine humu.,ni hayo tu.
 
Kama unafikiri ni utani stay tune Bavicha hawana utani wa UVCCM
Wewe ebu acha kuongea pumba....TUMEISHA KUOMBA MTUPE MREJESHO WA MATAMKO YA HAO SO CALLED BAVICHA....UMESHINDWA EBU TAFTA KAZI ZA KUFANYA NDUGU YANGU.....MNAKIFIRISI HICHO CHAMA.....maana mnakula posho zA bure.....
 
Hawa watoto watakuwa ni mediocre iwapo wana mpango kama huo.

Ni upuuzi kusema watu wanatoka Dar es salaam kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano ya ndani kwa mujibu wa Katiba.

Tafsiri ya kiutendaji ya tamko hili, iwapo kweli mikutano ingekuwepo, ni kuwa wanachama/viongozi wawakilishi kwa kila ngazi ya chama watakutana kufanya hivyo vikao vyao katika ngazi husika. Kama ni tawi, basi wajumbe wake wanatoka ngazi hiyo, kama ni kata vivyo hivyo.....wilaya, mkoa, kanda na taifa. Sasa suala la mjumbe gani anakuzungu kwenda wapi linatoka wapi? Maana, mtu, kiongozi wa kitaifa, hawezi kutoka Dar es salaam kwenda kuhudhuria mikutano ya tawi Kangantebe, Nagurukuru, Omulusagamba, Kamagenge, Kyanguge wala Mulahya.

Sasa huyo kama si kichaa mtu/kiongozi atakuwa anazunguka kwenda wapi na kushiriki mikutano gani maana mtu mmoja au wachache hawawezi kuwa wajumbe wa mikutano yote kwa kila ngazi ya uongozi/organizesheni ya chama.

Kwa kuzingatia ukweli huu hapo juu, taarifa hii ni ya uongo. Lakini kwa bahati mbaya, taarifa kama hizi zinakijeruhi chama. Kwa watu wenye akili timamu wanaona hawa jamaa ni mediocre iwapo watagundua kuwa kumbe hata hiyo mikutano wenyewe, hata mmoja, haiupo, wala haijapangwa kufanyika mahali popote!

Ni dhahiri kuwa hali hii imetokea/inatokea kwa sababu uongozi wa Chadema ngazi ya taifa umeshindwa kusoma na kutafsiri mabadiliko ya mazingira ya kisiasa hapa nchini, ili kuelekeza chama ku-adapt kwenye mazingira mapya ya kisiasa yaliyotokana na nguvu za kisiasa za JPM. Chama kinaonekana kama kwamba hakina msomi hata mmoja! la hau la!
 
Habari zilizonifikia mdaa si mrefu ni kuwa Baraza la Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAVICHA, linatarajia kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano ya ndani ya kikatiba.

kwa utaratibu wataanza na Mkoa gani watotoa taarifa siku za karibuni.

Stay tune..
Wataanzia Njombe na Tandahimba na watamalizia Moshi na Arumeru. Lakini wakiuawa na polidu watashitakia Mwanza.
 
Wanaanda future ya watoto wako na wajukuu zako pia.Wanajitoa ili kizazi chacko kije kifaidi matunda ya Demkrasia ya kweli hapo baadae.

Fikiri kwa mapana na zaidi ukiweka mbele uzalendo na sio ukada.
Waliofanya hivyo ni kina Mandela kutoka apartheid na Kagame kutoka genocide. Hawa wanapigana na nani? Ukombozi gani wa kuangalia TV live saa za kazi na kuchukua posho za bunge halafu utoke nje ukale?
 
Back
Top Bottom