Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Mtoto wa dadaDED anapata wapi ujasiri wa kufanya mauaji ya kimbari
Kisukari + pressure + tumbo la kuharaMtoto wa dada
Mambo Mengine Ya Kijinga Sana, Mmejuaje Kama Yeye Ndio Kafanya Hayo Mauaji? Kwa Nn Msingeisubilia Mahakama Imtie Hatiani Ndio Muandike Barua Ya Kulaani? Siku Mahakama Ikimfutia Shauri La Ayo Mauaji Mtarudi Tena Kuja Kutengua Hiyo Barua Yenu?
Ni mtoto wa ndugu yetu wa damu kabisa... Dada yetu... Tumlinde kwa namna yoyoteDED anapata wapi ujasiri wa kufanya mauaji ya kimbari
Wazee wa kuvamia matukio
Uvccm wanafurahia kodi zinakusanywa
Kufutiwa shitaka ,hakukuondolei hatia ya kuua..Mambo Mengine Ya Kijinga Sana, Mmejuaje Kama Yeye Ndio Kafanya Hayo Mauaji? Kwa Nn Msingeisubilia Mahakama Imtie Hatiani Ndio Muandike Barua Ya Kulaani? Siku Mahakama Ikimfutia Shauri La Ayo Mauaji Mtarudi Tena Kuja Kutengua Hiyo Barua Yenu?
Sent using Jamii Forums mobile app