Hilo ndilo tatizo la vijana mtu akiwa tofauti kimawazo basi yeye ni CCM. Ila kama ni ukweli lazima usemwe hakuna cha Tuntemeke wala Pasco. Tuangalie je anachokifanya Ben ni sawawa.
[h=2]Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe[/h]
Kuna chochote alichoongea Zitto kuhusu Lwakatare au Kibanda, mimi nilimwona kwenye press conference alipokuwa na Dr slaa.
Ila kwa maneno haya kwenye red napata shida na Ben wa Saanane.
Kupitia uanachama wangu kwa CHADEMA Kamwe msitegemea kosa lolote kutoka kwangu litakalowapa easy ride kwa mitego yenu. Kati ya watu wanaotakiwa kuhojiwa na jeshi la polisi kulingana na matamshi yao hadharani kwa sasa ni Mwigulu Nchemba, Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, Festo Richard Sanga, Habib Mchange, Nape Moses Nnauyeili watoe ushahidi walio nao pamoja na ndugu Zitto Kabwe aliyedai kwamba alisikia mipango ya Mauaji inayomhusu yeye kutoka kwa watu waleee
Ahojiwe aeleze alisikia kutoka kwa akina nani. Najua watu wa Usalama wa Taifa mnapita hapa, Take Note (kama hamko katika hila hizi)
pia na hii
Mwisho, nasikia sikia sana habari za kuchinjana. Kuuana nk. Nasikia habari hizi kwa watu wale wale wa kikundi kile kile. Moja, natoka Kigoma. Nimeaga kwetu.
haya yalishapita kwa chadema haisaidii kitu wewe kama unabifu na Zitto useme na ni nani anaekutuma umchafue kiasi hicho.