BAVICHA iko wapi?

BAVICHA iko wapi?

Minadhani mwenzetu kahoji kama mdau wa siasa hakuhoji kama yeye ni CCM, chamsingi nachamaana naingekua busara zaidi kama hoja hii inge jibiwa na viongozi wa CDM sio vifuata upepo,ambao hata yalipo makao makuu ya chama hampajui
Kama waliojibu umeona sio sahihi, aliyekwambia JF ni ofisi ya CDM nani? Mshauri mburura mwenio aende kuuliza ofisi za CDM kama ana uchungu na ZZK our Jembe la ukweli. Mmeshindwa kuwasuluhisha akina Membe na Lowasa na Sitta ila ya Zitto yanawawasha kama nini.Mbona CDM hawajasema kuwa Sitta atendewe haki, kimbelembele tu kwenye ugonvi wa majirani kama mkojo wa asubuhi. Imekula kwenu mtatapatapa sana mwaka huu mlidhani mtatumia migogoro ya ndani ya chama kuiuwa CDM. Mkajipange upya hiyo bado.
 
Zitto kinacho msulubu ni ukanda atokao tu sio kingine, labda walipenda awe mchaga au mmasai apo ange kubarika. Labda niseme CDM simahala sahihi kwa Zitto ivi sasa. Kwakua washamtumia/wanamtumia lakini wanamuona silolote, ingekua vyema Mh Zitto angeenda kuangalia mustakabbali wake sehemu nyengine.(sio CCM) Kwakweli Zitto ni mpiganaji lakini tatizo anampiga adui ( CCM) ilhali akiwa kwa adui (CDM) kwahiyo vita hiyo ningumu kushinda
 
Kama waliojibu umeona sio sahihi, aliyekwambia JF ni ofisi ya CDM nani? Mshauri mburura mwenio aende kuuliza ofisi za CDM kama ana uchungu na ZZK our Jembe la ukweli. Mmeshindwa kuwasuluhisha akina Membe na Lowasa na Sitta ila ya Zitto yanawawasha kama nini.Mbona CDM hawajasema kuwa Sitta atendewe haki, kimbelembele tu kwenye ugonvi wa majirani kama mkojo wa asubuhi. Imekula kwenu mtatapatapa sana mwaka huu mlidhani mtatumia migogoro ya ndani ya chama kuiuwa CDM. Mkajipange upya hiyo bado.
Haya sio maneno ya harakat kabisa, haya ni maneno ya mipasho (taarabu)
 
Haya sio maneno ya harakat kabisa, haya ni maneno ya mipasho (taarabu)

Kama ni taarabu basi cheza taarabu, we ulivyokuwa unawambia wenzio vifuata upepo hiyo sio taarabu ila harakati. jifunze kwanza ustaarabu ndio uwatake watu kuwa wastaarabu.
 
Wewe ni nani mpaka udai kuwa ''unataka kuona haki inatendeka''

Yaani kutaka haki itendeke ni mpaka uwe mtu fulani?

Kweli wafuasi wa chadema mmelaghaika kwa kiasi kikubwa...
 
Kweli Kamanda.Tutakua imara kuliko wakati wowote ule
Uimara kwa mtazamo upi? Ben kushiriki siasa kwa mgomo wa fulani kukutumia ujue siku ya kutoka kwake katika uongozi ndio na wewe arobaini yako imetimia.
 
Saanane zitto kakukosea nn ?

Yeye anawakilisha matakwa ya watu wengine, ndio maana anasema hakuna siku atakayopewa adhabu chadema.
Mtu ambaye hajawahi kuwa hata mjumbe wa tawi anapata wapi kiburi kama hicho???
 
Baada ya kuanza kuona maluelue kwenye ile movie ya clip sasa umeeona ujaribishe bahati yako sehemu nyingine.
 
Kwani akipewa tu jibu la swali lake itakuaje, au atakuaje badala ya kushambuliwa bila jibu la swali, mi nafikri hoja ya nguvu co sahihi, nguvu ya hoja ni sahihi
 
Kwani akipewa tu jibu la swali lake itakuaje, au atakuaje badala ya kushambuliwa bila jibu la swali, mi nafikri hoja ya nguvu co sahihi, nguvu ya hoja ni sahihi

Mkuu,

Mara nyingi watu wasio na majibu hupenda kutumia hoja za nguvu...
 
kaka kazi unayo,unalipwa kiasi gani maana naona unatokwa povu kweli,unatumia nguvu,nyingi mahali ambapo hakuna mafanikio,nenda kaazime trekta ukalime,ningekuwa na utaalam kama ule wa watani zangu wasukuma, ningekuchukua ukanilimie shamba langu kule Bariadi.

Kumbe wewe ni mtani wangu.

Habari za kazi mtani?
 
Mleta mada sikuombi ujitahidi kujitambua kwani hilo ni jukumu lako,kaa na utafakari pindi mtima wako ukusukumapo kuanzisha uzi basi uwe uzi makini.nawe Zitto puuza mada kma hizi kwani nia na dhumuni lao wana gAMBA ni kuhamishia lile pepo lao la mafarakano ndani ya Chadema.nanyi wana Chadma puuzeni wala msichangie nyuzi km hizi,wakianzisha wachangie wenyewe na uwizi wenu wa hela za walala hoi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Yaani wewe badala ya kuhamasisha waheshimu viongozi wote bila kubagua, unawahamasisha wasijirekebishe!!!

Ama kweli kikulacha kinguoni mwako...
 
Mbona linapokuja swala la.ukweli munakuwa wakali? Shindaneni.kwa.hoja na c matuc
 
Ninachotaka kuona ni HAKI inatendeka, misingi ya Usawa na Utawala Bora inaheshimiwa.

Kuwaambia walio pora fedha za EPA wazirudishe ndiyo utawala bora kwako au!Wezi wanapewa nafasi ya kufikiria kurudisha walichoiba ndiyo utawala bora kwako au!Zemarcopolo una anza na ww kuhamishia akili zako kwenye "tumbo" nahisi!
 
sio @incoherent sema @incoherence ww gamba vipi?

Wana JF tafadhali msaidieni kijana huyu kijana mwenzenu. Unajua hii lugha ni "imported" kwa hiyo inabidi avumiliwe na kusaidiwa. Mimi nadhani ndugu zangu kabla hatujaenda kwenye yale maneno magumu tungewasaidia vijana kama hawa kwenye basic english.

Lakini kama umeweza kuingia JF unashindwa vipi kufungua website ya kujifunza lugha especially pale unapotaka kukosoa.

Anyways, JF haina entry requirement - naweza kuwa najaza maji kwenye gunia...
 
Kuwaambia walio pora fedha za EPA wazirudishe ndiyo utawala bora kwako au!Wezi wanapewa nafasi ya kufikiria kurudisha walichoiba ndiyo utawala bora kwako au!Zemarcopolo una anza na ww kuhamishia akili zako kwenye "tumbo" nahisi!

Kwahiyo kwenye mizani yako wewe Zitto aendelee kuchafuliwa mpaka siku pesa za EPA zitakapokuwa hazijaibiwa?

Kwani wakati waliomchafua Dr. Slaa wanapewa adhabu kulikuwa hakuna pesa za EPA zilizoibiwa?
 
Back
Top Bottom