Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Saanane zitto kakukosea nn ?
Wewe CHADEMA imekukosea nini?
Saanane zitto kakukosea nn ?
Zitto kinacho msulubu ni ukanda atokao tu sio kingine, labda walipenda awe mchaga au mmasai apo ange kubarika. Labda niseme CDM simahala sahihi kwa Zitto ivi sasa. Kwakua washamtumia/wanamtumia lakini wanamuona silolote, ingekua vyema Mh Zitto angeenda kuangalia mustakabbali wake sehemu nyengine.(sio CCM) Kwakweli Zitto ni mpiganaji lakini tatizo anampiga adui ( CCM) ilhali akiwa kwa adui (CDM) kwahiyo vita hiyo ningumu kushinda
Kwahiyo kwenye mizani yako wewe Zitto aendelee kuchafuliwa mpaka siku pesa za EPA zitakapokuwa hazijaibiwa?
Kwani wakati waliomchafua Dr. Slaa wanapewa adhabu kulikuwa hakuna pesa za EPA zilizoibiwa?
Wana JF tafadhali msaidieni kijana huyu kijana mwenzenu. Unajua hii lugha ni "imported" kwa hiyo inabidi avumiliwe na kusaidiwa. Mimi nadhani ndugu zangu kabla hatujaenda kwenye yale maneno magumu tungewasaidia vijana kama hawa kwenye basic english.
Lakini kama umeweza kuingia JF unashindwa vipi kufungua website ya kujifunza lugha especially pale unapotaka kukosoa.
Anyways, JF haina entry requirement - naweza kuwa najaza maji kwenye gunia...
Una uchungu sana na yanayoendelea CHADEMA ila yaliyoko ndani ya ccm na serikali yenu huyaoni!??, hivi mkishatung'oa kucha huwa mnazifanyia nini!???
Vijana mliolaghaiwa hamna kabisa uwezo wa kujibu hoja...
Heri yako wewe "uliyeajiriwa" ilhali sisi wengine tumelaghaiwa.. Hongera
Kabla hatujaanza sisi kumsaidia huyu mmoja iambie serikali ya chama cha MAPINDUZI iwasaidie vijana na watoto wa kitanzania kwa kuwawekea mfumo bora wa elimu na sio kumkabidhi kílaza wizara nyeti kama ya elimu kisa alifanya bidii kuhakikisha unafanikiwa kuongeza idadi ya "mama zetu wadogo" . bursted..
kwa sababu akili yako imejaa kinyesi na matapishiMajibu ya kejeli za kishabiki yameshaanza kuzoeleka toka kwa baadhi yenu.
Ww si di daktari? Nakufananisha na condom iliotumika yaani na usomi wako ilboru ma university ulaya tena ma soviet lakini unatumiwa na wajinga wajinga kama nape? Ama kweli tuna kazi na Tanzania.Vijana mliolaghaiwa hamna kabisa uwezo wa kujibu hoja...
Huna hoja...
Ben ben ni nani huyu katika siasa za nchi hii? Ni takataka tu nashangaa mnaopoteza muda kumjadili.
Sijui kama alishatoka muhimbili maana kule alikuwa anaitwa chinja chinja akishika mgonjwa lazima afe. Ila kumbe hii ndio kazi anayoijua. Zamani alikuwa na vision sana hata ukiongea nae unajua hawa ndio watu alipogombea ubunge kilombero akashindwa kura za maoni ndio akaanza kuwa mjinga. Sikuwahi kuitegemea kama zerma ninaemjua atajuja kuandika upuuzi kama huu ila mkuu huwezi jua pengine kaona fani yake ya u dr hailipi na ana familia inamtegemea kaamua kuwa wakala wa nape. Tusoimlaumu tulaumu serikali ambayo labda wangeweka mazingira mazuri kweye fani ya udr angetulia kule kuleHeri yako wewe "uliyeajiriwa" ilhali sisi wengine tumelaghaiwa.. Hongera
Mkuu,
Chadema ina idara ya mitandao ya jamii. Wengi unaowaona hapa wako kwenye idara hiyo. Kinachoshangaza ni kuona idara ya chama inamshambulia kiongozi wa chama hichohicho. Kazi ya kumshambulia Zitto pia imefanywa sana na gazeti la Tanzania Daima.
Tatizo kubwa zaidi ni kwamba wanavuka mipaka na kutumia jumuiya ya chama kama Bavicha kuhalalisha maovu...
Haki, usawa na utawala bora haviwezi kuwepo midomoni tu. Ni lazima vionekane kwa vitendo.
Bavicha iko wapi?
Hivi karibuni kuna vijana walifukuzwa uanachama Bavicha na Kamati Tendaji kwa kosa la kuwachafua viongozi wa chama kwenye mitandao ya kijamii.
Hata hivyo, kijana Ben Saanane aliyehusika na kuwachafua viongozi kwenye mitandao ya jamii alisamehewa. Walioadhibiwa ni wale waliomchafua Dr. Slaa. Huyu Ben Saanane alimchafua Zitto Kabwe.
Msamaha huo wa Bavicha ulitolewa sababu mbalimbali, lakini wapo walioamini kuwa ni msamaha wa upendeleo unaokiuka misingi ya haki, usawa na utawala bora.
Cha kushangaza ni kwamba kupitia mitandao ya facebook na JamiiForums kijana Ben Saanane anaendelea kumchafua Zitto Kabwe, ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, kwa kumhusisha na kesi za ugaidi!
Viongozi wa Bavicha wako kimya wakitabasamu kuona Zitto anachafuliwa.
Bavicha iko wapi?
Je, kuchafua viongozi kwenye mitandao ya jamii sio kosa tena?
Je, kiongozi asiyepaswa kuchafuliwa ni Dr. Slaa peke yake?
Je, ni lini Bavicha itaanza kumtendea haki Zitto Kabwe, kiongozi aliyejitolea kuiimarisha Bavicha kwa nguvu zake zote?
Zitto kinacho msulubu ni ukanda atokao tu sio kingine, labda walipenda awe mchaga au mmasai apo ange kubarika. Labda niseme CDM simahala sahihi kwa Zitto ivi sasa. Kwakua washamtumia/wanamtumia lakini wanamuona silolote, ingekua vyema Mh Zitto angeenda kuangalia mustakabbali wake sehemu nyengine.(sio CCM) Kwakweli Zitto ni mpiganaji lakini tatizo anampiga adui ( CCM) ilhali akiwa kwa adui (CDM) kwahiyo vita hiyo ningumu kushinda
Yaani kutaka haki itendeke ni mpaka uwe mtu fulani?
Kweli wafuasi wa chadema mmelaghaika kwa kiasi kikubwa...