Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Kwamipasho weeee! Sikuwezi, enhe tungo hiyo ya nani Adija kopa au niyako mwenyewe?Na mtamaliza kuni kuchochea mawe na hayataiva, hivi mmeshawahi kukaa chini na kutathmini ni kwa kiasi gani propaganda zenu dhidi ya CHADEMA zimewanufaisha!??? au ndo vile mkishatia ndani posho mnakua mmemaliza kazi na kuanza kufikiria jingine la kutoka nalo mkidhani kwamba mtaisambaratisha CHADEMA kwa mtindo huo, I dare say Mtasubiri sana meli airport huku CHADEMA ikichanja mbuga...