Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,717
- 7,325
Endeleeni kuokoteza picha za kutengeneza.Mwanza mbona wachafu hivi?! ..Arusha huwezi Kuta huu ujingaView attachment 2761948View attachment 2761949
Endeleeni kuokoteza picha za kutengeneza.Mwanza mbona wachafu hivi?! ..Arusha huwezi Kuta huu ujingaView attachment 2761948View attachment 2761949
Hiyo ni render tuu Wala sijui ni ya Mkoa gani maana nimejaribu ku zoom hapo nione jina sijafanikiwa ila limeandikwa hapo front.Kuna Miji 26 itajengwa Stand bwasheeHako kajengo hakana maajabu bado stendi ya msamvu itakuwa bora kuliko hii, render huwa zinakuwa tofauti na kitu halisi, naona mabanda ya kufugis kuku kuzinguka stendi pamoja na kajengo kama ka kituo cha afya katikati.
Usije kuamini hizi render, pia ulinifurahisha kwenye uzi fulani nimesahau uliposema ukiona mkandarasi mzawa kapewa mradi mkubwa hiyo ni sawa na kutulizwa kwaajili ya kampeni na maslahi yao hakuna kitu cha maana kitatokea😂😂Hiyo ni render tuu Wala sijui ni ya Mkoa gani maana nimejaribu ku zoom hapo nione jina sijafanikiwa ila limeandikwa hapo front.Kuna Miji 26 itajengwa Stand bwashee
Ni sawa tu kwani wasukuma si watanzania....kingine hii thread ingependeza zaidi tungelinganisha miji ambayo ndani ya hiyo miji kuna makabila mbalimbali kuna wasukuma walioko arusha na kuna wachagga na wamasai walioko mwanza kuongelea au kuleta takwimu za makabila huleta chuki na uhasama na kuondoa dhana halisi ya kujenga umoja wetu.. haya makabila tunayajua tu humu ndani ya nchi lakini hata ukienda hapo kenya tu watu hawakujui wewe ni msukuma au mchagga watu wanakujua kama ni mtanzania 🇹🇿Wasomi wengi UDOM ni wasukuma, CBE wengi Lake Zone sina uhakika kwa UDSM na Vyuo Vingine
🙏🙏🙏 unapotea sana mdogo wangu, , vipi kahama huko.Ni sawa tu kwani wasukuma si watanzania....kingine hii thread ingependeza zaidi tungelinganisha miji ambayo ndani ya hiyo miji kuna makabila mbalimbali kuna wasukuma walioko arusha na kuna wachagga na wamasai walioko mwanza kuongelea au kuleta takwimu za makabila huleta chuki na uhasama na kuondoa dhana halisi ya kujenga umoja wetu.. haya makabila tunayajua tu humu ndani ya nchi lakini hata ukienda hapo kenya tu watu hawakujui wewe ni msukuma au mchagga watu wanakujua kama ni mtanzania 🇹🇿
Upo sahihi sahihi tatizo watu wana waattack sana wasukuma, mimi kwa asili ni mpemba mzaliwa wa mwanza, me nawapenda, wasukuma na mji wao.Ni sawa tu kwani wasukuma si watanzania....kingine hii thread ingependeza zaidi tungelinganisha miji ambayo ndani ya hiyo miji kuna makabila mbalimbali kuna wasukuma walioko arusha na kuna wachagga na wamasai walioko mwanza kuongelea au kuleta takwimu za makabila huleta chuki na uhasama na kuondoa dhana halisi ya kujenga umoja wetu.. haya makabila tunayajua tu humu ndani ya nchi lakini hata ukienda hapo kenya tu watu hawakujui wewe ni msukuma au mchagga watu wanakujua kama ni mtanzania 🇹🇿
Mimi nina ndugu wa damu kabisa ambayo asili yao ni kanda ya ziwa....njoo kahama tupambane mkuu ukija unicheki🙏🙏🙏 unapotea sana mdogo wangu, , vipi kahama huko.
Umeona sasa hiyo ni low level of exposureUpo sahihi sahihi tatizo watu wana waattack sana wasukuma, mimi kwa asili ni mpemba mzaliwa wa mwanza, me nawapenda, wasukuma na mji wao.
Nani huyo amesema kahama ni sawa na buhongwa 🤣🤣Kahama hii nayoijua au kahama nyingine...itaiwashia moto morogoro au Tanga na sio jiji la miamba
Takuja huko mwezi wa pili kutembea tu, nijionee mji wa kahama wa sasa.Mimi nina ndugu wa damu kabisa ambayo asili yao ni kanda ya ziwa....njoo kahama tupambane mkuu ukija unicheki
Kahama ni mji mkubwa lakini jitaidini mipango, town planners wawe creative.Nani huyo amesema kahama ni sawa na buhongwa 🤣🤣
Ila waliopo Shule ni wengi kuzidi kabila lolote apa TzInabadilisha nini kwenye takwimu ikiwa wanaoongoza Kwa uzazi mkubwa ni hao hao Wasukuma? Ndio maana hata shule mnaacha wengi
Ameponda Wasukuma nimetetea Wasukuma, angeponda mkoa nngetetea MkoaNi sawa tu kwani wasukuma si watanzania....kingine hii thread ingependeza zaidi tungelinganisha miji ambayo ndani ya hiyo miji kuna makabila mbalimbali kuna wasukuma walioko arusha na kuna wachagga na wamasai walioko mwanza kuongelea au kuleta takwimu za makabila huleta chuki na uhasama na kuondoa dhana halisi ya kujenga umoja wetu.. haya makabila tunayajua tu humu ndani ya nchi lakini hata ukienda hapo kenya tu watu hawakujui wewe ni msukuma au mchagga watu wanakujua kama ni mtanzania 🇹🇿
Walichelewa sana kuipa kahama manispaa imagine mpanda ilikua manispaa kabla ya kahama kwaiyo fungu la barabara, mipango likawa dogo hadi leo stendi kuu bado ni vumbi ngoja tusubiri mradi wa tactic tuone manake wanampango wakujenga stendi mbili kubwa hapa kahamaKahama ni mji mkubwa lakini jitaidini mipango, town planners wawe creative.
Mkuu nilitaka kuja kahama kwajili ya matembezi nambie fursa zilizopo pande izoWalichelewa sana kuipa kahama manispaa imagine mpanda ilikua manispaa kabla ya kahama kwaiyo fungu la barabara, mipango likawa dogo hadi leo stendi kuu bado ni vumbi ngoja tusubiri mradi wa tactic tuone manake wanampango wakujenga stendi mbili kubwa hapa kahama
Mimi sihitaji taarifa ninajua na nomeshaweka humu jukwaani Tenda za uwanja wa Arusha na Dodoma
Hongereni sana waziri wa michezo katufanyia figisu kwani wangeiweka na Mwanza kwenye project wangepungukiwa nini.
Hongereni sana waziri wa michezo katufanyia figisu kwani wangeiweka na Mwanza kwenye project wangepungukiwa nini.
What's so special.