Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hako kajengo hakana maajabu bado stendi ya msamvu itakuwa bora kuliko hii, render huwa zinakuwa tofauti na kitu halisi, naona mabanda ya kufugis kuku kuzinguka stendi pamoja na kajengo kama ka kituo cha afya katikati.
Hiyo ni render tuu Wala sijui ni ya Mkoa gani maana nimejaribu ku zoom hapo nione jina sijafanikiwa ila limeandikwa hapo front.Kuna Miji 26 itajengwa Stand bwashee
 
Usije kuamini hizi render, pia ulinifurahisha kwenye uzi fulani nimesahau uliposema ukiona mkandarasi mzawa kapewa mradi mkubwa hiyo ni sawa na kutulizwa kwaajili ya kampeni na maslahi yao hakuna kitu cha maana kitatokea😂😂
 
Wasomi wengi UDOM ni wasukuma, CBE wengi Lake Zone sina uhakika kwa UDSM na Vyuo Vingine
Ni sawa tu kwani wasukuma si watanzania....kingine hii thread ingependeza zaidi tungelinganisha miji ambayo ndani ya hiyo miji kuna makabila mbalimbali kuna wasukuma walioko arusha na kuna wachagga na wamasai walioko mwanza kuongelea au kuleta takwimu za makabila huleta chuki na uhasama na kuondoa dhana halisi ya kujenga umoja wetu.. haya makabila tunayajua tu humu ndani ya nchi lakini hata ukienda hapo kenya tu watu hawakujui wewe ni msukuma au mchagga watu wanakujua kama ni mtanzania 🇹🇿
 
🙏🙏🙏 unapotea sana mdogo wangu, , vipi kahama huko.
 
Ni sawa tu kwani wasukuma si watanzania....kingine hii thread ingependeza zaidi tungelinganisha miji ambayo ndani ya hiyo miji kuna makabila mbalimbali kuna wasukuma walioko arusha na kuna wachagga na wamasai walioko mwanza kuongelea au kuleta takwimu za makabila huleta chuki na uhasama na kuondoa dhana halisi ya kujenga umoja wetu.. haya makabila tunayajua tu humu ndani ya nchi lakini hata ukienda hapo kenya tu watu hawakujui wewe ni msukuma au mchagga watu wanakujua kama ni mtanzania 🇹🇿
Upo sahihi sahihi tatizo watu wana waattack sana wasukuma, mimi kwa asili ni mpemba mzaliwa wa mwanza, me nawapenda, wasukuma na mji wao.
 
Ni sawa tu kwani wasukuma si watanzania....kingine hii thread ingependeza zaidi tungelinganisha miji ambayo ndani ya hiyo miji kuna makabila mbalimbali kuna wasukuma walioko arusha na kuna wachagga na wamasai walioko mwanza kuongelea au kuleta takwimu za makabila huleta chuki na uhasama na kuondoa dhana halisi ya kujenga umoja wetu.. haya makabila tunayajua tu humu ndani ya nchi lakini hata ukienda hapo kenya tu watu hawakujui wewe ni msukuma au mchagga watu wanakujua kama ni mtanzania 🇹🇿
Ameponda Wasukuma nimetetea Wasukuma, angeponda mkoa nngetetea Mkoa
 
Kahama ni mji mkubwa lakini jitaidini mipango, town planners wawe creative.
Walichelewa sana kuipa kahama manispaa imagine mpanda ilikua manispaa kabla ya kahama kwaiyo fungu la barabara, mipango likawa dogo hadi leo stendi kuu bado ni vumbi ngoja tusubiri mradi wa tactic tuone manake wanampango wakujenga stendi mbili kubwa hapa kahama
 
Haya Mikdde Kitombile ChoiceVariable mambo hayo Chuga uwanja kujengwa
Screenshot_20230927-154310.jpg
 
Walichelewa sana kuipa kahama manispaa imagine mpanda ilikua manispaa kabla ya kahama kwaiyo fungu la barabara, mipango likawa dogo hadi leo stendi kuu bado ni vumbi ngoja tusubiri mradi wa tactic tuone manake wanampango wakujenga stendi mbili kubwa hapa kahama
Mkuu nilitaka kuja kahama kwajili ya matembezi nambie fursa zilizopo pande izo
 
Back
Top Bottom