Hivi ilikuwaje songwe ukawa wa kimataifa kabla ya wa mwanzaWewe acha visingizio Mwanza iko namba mbili kwenye logistics zote baadae ya Dar! Hata Mkoa kwenye mabasi na vituo vya mafuta Vingi ni Mwanza baada ya Dar!
Hata magari yanayokuja bandarini na kubaki nchini mkoa wa pili kwa idadi ya wateja wa magari ni Mwanza baadae ya Dar!
Kwa hiyo Mwanza kukosa uwanja wa Ndege wa Kimataifa ni uzembe wa serkali yenyewe kutumia fursa!!