Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Local flights za kutoka Mwanza kwenda wapi ? Local flights kutoka Mwanza kwenda dar ,au kutoka dar kwenda Mwanza lazima ziwe nyingi kutokana na umbali hapo nadhan tumelewana
Wewe acha visingizio Mwanza iko namba mbili kwenye logistics zote baadae ya Dar! Hata Mkoa kwenye mabasi na vituo vya mafuta Vingi ni Mwanza baada ya Dar!
Hata magari yanayokuja bandarini na kubaki nchini mkoa wa pili kwa idadi ya wateja wa magari ni Mwanza baadae ya Dar!
Kwa hiyo Mwanza kukosa uwanja wa Ndege wa Kimataifa ni uzembe wa serkali yenyewe kutumia fursa!!
 
Hivi ilikuwaje songwe ukawa wa kimataifa kabla ya wa mwanza
 
Wewe acha visingizio Mwanza iko namba mbili kwenye logistics zote baadae ya Dar! Hata Mkoa kwenye mabasi na vituo vya mafuta Vingi ni Mwanza baada ya Dar!
Hata magari yanayokuja bandarini na kubaki nchini mkoa wa pili kwa idadi ya wateja wa magari ni Mwanza baadae ya Dar!
Kwa hiyo Mwanza kukosa uwanja wa Ndege wa Kimataifa ni uzembe wa serkali yenyewe kutumia fursa!!
Embu tuone source sio unapyuka payuka kama tuko kilabuni
 
Wewe endelea kujifariji Mwanza ni giant kwa maeneo mengi ila kwa vile hutaki kukubali baki na unachoamini! Hapo sio mimi ona mwenyewe! Hapa angalia na idadi ya lita za mafuta zinazotumika Mwanza na Arusha utapata majibu! Kama utataka nikuletee tena idadi ya local flight za ndege kati ya Kilimanjaro na Mwanza uendelee kushangaa!
WhatsApp Image 2023-08-04 at 15.08.18.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom