Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leads🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hampo hata top 10 masikini
20240416_063606.png
 
Hizi statistics hazielezei meat consumption in Tanzania! meat consumption in Tanzania na beef export from Tanzania ni vitu viwili tofauti!
Sikuongelea matumizi ya ndani, haya hayajabadilika sana.Ila niliongelea export ambayo ilisababishwa na zile mashine za machinjio za kisasa, unakumbuka ile shtukiza ya vingunguti?. Zamani ilikuwa vigumu kuexport nyama zetu kwakuwa hatukuwa na machinjio ya kisasa, pamoja na uwezo wa kusafirisha nyama ng'ambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom