Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yale maeneo yetu pendwa ya the mighty slums of Nairobi mbona hujatuonyesha mkuu il tuweze fanya comparison na haya maeneo mengine ili upate justification ya kukataa kwamba 82% ya Nairobians wanakaa kwa slums?
 
i see estate if investors where are the houses dream ya wakenya unazo tuzione ili tuone sehemu amabzo wakenya wengi wanamiliki nyumba na ardhiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ndio maana nashangaa kuona 2.5m in kibera alone
 
Yale maeneo yetu pendwa ya the mighty slums of Nairobi mbona hujatuonyesha mkuu il tuweze fanya comparison na haya maeneo mengine ili upate justification ya kukataa kwamba 82% ya Nairobians wanakaa kwa slums?
na ndio zimebeba 80% ya wakenya halisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hio kibera alone πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Yale maeneo yetu pendwa ya the mighty slums of Nairobi mbona hujatuonyesha mkuu il tuweze fanya comparison na haya maeneo mengine ili upate justification ya kukataa kwamba 82% ya Nairobians wanakaa kwa slums?
we waambie wakuoneshe nyumba za dream zao watakimbia wote humu ndani ila waambie wakuoneshe estates zinazomilikiwa na investors watakuja kama upepoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
and i see upperhill, CBD,kilimani etcπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡
View attachment 1448471
Unasumbuka sana kijana wa tandale. Pambana na dream house zenu. Kilimani is a residential area, just in case you didn't know. Upperhill kwenyewe pia kuna nyumba kadhaa za kuishi. It was purely a residential area a few years ago before it became what it is today but still there are so many residential houses in Upperhil . Acha kusumbuka sana na Nairobi. Bado iko mbele sana ya hiyo kijiji chenu
 
Yale maeneo yetu pendwa ya the mighty slums of Nairobi mbona hujatuonyesha mkuu il tuweze fanya comparison na haya maeneo mengine ili upate justification ya kukataa kwamba 82% ya Nairobians wanakaa kwa slums?
Huyo hanaga picha nyingine za kuaminisha watu kuwa haishi dandora, huwa ana vipicha vyake hivyo hivyo daily mpk vinachakaa[emoji3][emoji3]
 
uehhehe huku kumiliki ardhi na nyumba ni kitu cha kawaida sana ambacho kwenu ni ajabu kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ iko mbele kwenye slums labda mkiambiwa kuleta nyumba za wakenya za ndoto zao munakimbia kama mbuzi mlichobakia nyinyi kupost estate za investors na kujifurahisha nazo wakat investor mmoja anaeza kumiliki hata estate 10 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ndio maana hua sishangai kuskia kibera alone ina 2.5 m kenyans πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hawaipendi Kibera km co kwao vileee[emoji3][emoji3]
 
Yale maeneo yetu pendwa ya the mighty slums of Nairobi mbona hujatuonyesha mkuu il tuweze fanya comparison na haya maeneo mengine ili upate justification ya kukataa kwamba 82% ya Nairobians wanakaa kwa slums?
Ndio hizi πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…