The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Kwn tzr wana mpango wa kui electrify reli yao?Nachujua ni kuwa, Tazara ndio wamesign MoU na Bomberdier tangu 2017.
View attachment 1445097
Picha hii utakuta kwenye site ya Tazara: tazarasite.com/
Pin it juu ya hii forum ata
Mbn naona kama bdo 10 tu iwe 200k au unamaanisha 10k kitu gani mkuutumefkisha 10000 duhh[emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
View attachment 1445217
pages tumefika 10000Mbn naona kama bdo 10 tu iwe 200k au unamaanisha 10k kitu gani mkuu
😂😂😂😂😂 kwavile ushaona uozo mtupu tulia tutakukamua vzr hapa sio nairalandPin it juu ya hii forum ata
Basi nadhani browser na jf app ni tofauti cz kwny app inaonesha tupo 199993pages tumefika 10000
Tutaona nani utatulia bas😂😂😂😂😂 kwavile ushaona uozo mtupu tulia tutakukamua vzr hapa sio nairaland
Au co, overpass 11km, unaumwa ww [emoji3][emoji3]Tutaona nani utatulia bas
Hawa jamaa ni waongo sana cjui kwnn hawapendi kuyaishi maisha yao
Nani alisema SGR haiwezi wekwa umeme???Waliahidi wangewapa wananchi nyoka wa umeme cha kushangaza ukaja mtungi wa chang'aa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1445268
Nyoka wa umeme😂😂😂Waliahidi wangewapa wananchi nyoka wa umeme cha kushangaza ukaja mtungi wa chang'aa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1445268
Kwani lazma kubisha na twitter pictures zipo kama evidence?Nachujua ni kuwa, Tazara ndio wamesign MoU na Bomberdier tangu 2017.
View attachment 1445097
Picha hii utakuta kwenye site ya Tazara: tazarasite.com/
Haiwezi wekwa Umeme ,sababu madaraja yenu yamejengwa membamba uwezi kuweka mifumo ya Umeme hadi myabomoe yote na kujenga upya yenye beam4 hivi siyo beam2 kama yalivyo yenu tena mengine mmejenga hayatumii beam ni midude kama box imeegeshwa hii ndiyo sababu serikali yenu ilikwama kuchenji gia hewani ya kuweka Umeme hilo liesijiara lenu, ni kama mlivyo bugi kwenye ujenzi Wa flyover zenu zote hamkuzingatia mifumo ya BRT wala TRAM tofauti na Tanzania flyover zetu tumezingatia mifumo ya brtNani alisema SGR haiwezi wekwa umeme???
After the project plans are underway, wacha pangangaHaiwezi wekwa Umeme ,sababu madaraja yenu yamejengwa membamba uwezi kuweka mifumo ya Umeme hadi myabomoe yote na kujenga upya yenye beam4 hivi siyo beam2 kama yalivyo yenu tena mengine mmejenga hayatumii beam ni midude kama box imeegeshwa hii ndiyo sababu serikali yenu ilikwama kuchenji gia hewani ya kuweka Umeme hilo liesijiara lenu, ni kama mlivyo bugi kwenye ujenzi Wa flyover zenu zote hamkuzingatia mifumo ya BRT wala TRAM tofauti na Tanzania flyover zetu tumezingatia mifumo ya brt
Send by APOLO 1