Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Yaani mbagala unasema ni maeneo hatarishi???!..manzese,buguruni pia....we kwani unaishi wapi????

Kwa taarifa yako hayo maeneo si hatarishi kama ulivyohadithiwa almost huduma zote hupatikana ktk maeneo hayo kama vile maji,umeme,huduma za kiafya na nyumba bora kabisa za kuishi wanadamu....nenda kibera ujionee watu wanavyoishi,nenda dandora,mukuru,mathare
We unaleta masikhara...yaani mbagala uiwele level moja na kibera????

Acha kuishushia hadhi kibera wewe
 
Hawa wengine tusiwe tunawajibu mkuu, we angalia tu comment yake zen achana naye, cz naye pia ana haki ya kuchangia, cc tuendelee na yetu mkuu.
 
utafananisha na upuuzi huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mbona hutaji hayo mazingira hatarishi? Just meanderings πŸ˜‡πŸ˜‡and brabra
 
Bro huu uzi unasaidia kujua mambo mengi kuhusu hizi nchi mbili hususani majiji haya mawili makubwa ya east africa (Dar es Salaam & Nairobi). Binafsi kuna mambo mengi tuu kupitia huu uzi nimejifunza na naendelea kujifunza katika hzi nchi zetu mbili yaana Kenya na Tanzania. Kujifunza huwa kunakuja kwa njia nyingi, hata battle ni njia mojawapo ya kujifunza mambo ingawa inaonekana labda lugha inayotumika humu ndiyo inakukera. Lakini kumbuka tu kwamba hii ni battle kama heading ya thread inayosema hivyo sitegemei kwenye battle kuwe na ulelemama. Kila upande unajitahidi kuoonyesha kwamba wao wapo bora katika eneo fulani kwa vielelezo mbalimbali kama picha n.k. Naamini hata wewe huu uzi unakusaidia kujua mambo mengi tu ambayo ulikuwa huyajui ndio maana unaufuatilia tangu 2017 vinginevyo ungekuwa umesha drop out.
 
There`s no room for you to preach, unafikiri sisi uliotukuta humu hatujui kitu?. unajua nini kilisababisha kuanzishwa kwa thread hii?. ushauri U ARE new to this forum you better have a sit and see what`s happening. it will by other ways be a better chance for you to learn something from your seniors. vinginevyo hatuhubiriani humu tunalinganisha NAIROBI na DAR.
 
Tatizo ni pale Watznia tunapokuwa positive wenzetu wana kuwa negative, ngoja tuburuzane hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…