Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
Wakenya wote mmeungana kusema kwamba tunaficha dataAluyeongelea data za kweli na za uongo ni nani?? Unapenda kutapatapa sana kijana
ubishi gani mpuuzi ww niletee update ya tanzania ya 5 days ago ukipata mm nafunga acc jamii forum 😂😂😂😂 naona mumeanza kuchanganyikwakijana wacha ubishi za kijinga. Serikali ilitangazwa maabukizi mapya two days ago na Haikuwa ya wiki moja na nusu as you say coz about five days before that mlitangaza new cases as well. Unakuanga na ubishi za kijinga sana
😂😂😂😂😂 yani hawana kazi wakat kwao moto unawaka kila leo balaa juu ya balaa kuna land slide huko wanajifanya wamesahau umeuwa watu zaidi ya 110 na bado wanakufaWakenya wote mmeungana kusema kwamba tunaficha data
munamatatizo mengi sana yakupambana nayo 👇👇👇👇👇kijana wacha ubishi za kijinga. Serikali ilitangazwa maabukizi mapya two days ago na Haikuwa ya wiki moja na nusu as you say coz about five days before that mlitangaza new cases as well. Unakuanga na ubishi za kijinga sana
Kumbe nairobi haina lolote hehehehee yn nyeupe hv, ss mnapata wapi ujasiri wa kupambana na Dar yny density namna hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]We are not going to argue about COVID 19 here. This battle is about Dar Es Salaam vs Nairobi Kenya. Now it is high time we close the chapter. I challenge Bongo, prove to us that Dar es Salaam is as organized as Nairobi.
NB: Prove by bringing an equivalent picture, sio longolongo
This is aerial view of Nairobi Kenya
View attachment 1436625View attachment 1436626
Wakenya wote mmeungana kusema kwamba tunaficha data
Hujui hata unajibu nini.Kumbe nairobi haina lolote hehehehee yn nyeupe hv, ss mnapata wapi ujasiri wa kupambana na Dar yny density namna hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1436635View attachment 1436637
Utaelewa tu,Hujui hata unajibu nini.
He doesn't know that we have more than twenty kariokoo's here in Nairobi and still we are adding moreHujui hata unajibu nini.
Yaani ungewazoomia ndio waone Skyline ya Ngara vyema. Wengine waliita Ngara Slum.Park road affordable housing now is complete....hii picha inaonyesha mjengo wa park road na skyline ya Ngara east na pia hapo chini ya hilo jengo lenye nyavu za kijani ndipo yale majengo manane yatanyanyuka hivi karibuniView attachment 1436667
Sent using Jamii Forums mobile app
Asked them on city plan and they bring "Density" eti.He doesn't know that we have more than twenty kariokoo's here in Nairobi and still we are adding more
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww unaipenda sn kariakoo sema ndo ufanyeje haiwezi kuwa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]He doesn't know that we have more than twenty kariokoo's here in Nairobi and still we are adding more
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umeruka hadi kwa mafuriko! Nyinyi watu mnachekesha sana. Kwa hivyo dangagiza hakuna mafuriko?munamatatizo mengi sana yakupambana nayo 👇👇👇👇👇
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]