El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Don't take it personal hehehe. ....Yeah
It is good for both of us...Ila tatizo lenu nyie mnajifanya mnadharau na mko superior kuliko wote...BTW greenfield haijawa revived
Sasa mbona unatapika sana ndugu wanjala😀😀lakini mbona akili yako imegwama hivi? Kibera upgrade ni process iliplaniwa 2012, ikaanza kufanyika 2015,
Kila mwezi mitano majumba 20 hujengwa na kuchukua sehemu ya watu wa Kibera.
Mahali wametolewa hufyekwa na Nyumba zingine ishirini kujengwa.
Shida ya wabongo ni ving'ang'anizi, ukweli ukijitokeza wanaanza vijisababu! Kama tu ilivyokuwa Simba na Nakuru All Stars.
Sio lazima ukubali! Lakini baadaye kidogo utaanza kutafuta vijisababu miaka mitatu tukisha badilisha Kibera!! Uzuri huu uzi utaweza maliza hiyo miaka!
Unajifanya unaruka hukuona comment za wenzako huko nyuma 😀😀😀😀 au unatafuta kick yakutokea niliwakwambia Nairobi ni ndogo sana na imejengeka sehemu ndogo sana soma hii picha uone area of city center and area of slums ndio utajua naongea nnEnyewe mtu akibarikiwa na ujinga ni vibaya. Hebu tafuta any comment since hii page ianze where kenyans claim Nairobi is bigger than Dar. Hakuna mtu amekataa but size itasaidia aje bro. Dar is twice as big as New York City, does that prove anything?
napaelewa sana hapo.ukiwa hapa dar unaona vizuri kutoka juu...huku panakuaga moto sana mzee ..high spirit loungeView attachment 520949
Not really.This Dar is like a city that has been in slumber and suddenly woken up.....
Dar is growing
Nairobi is growing too
Good for the region. ....isn't it.
Hiyo Dar yenu tunaona tu nyumba zinakaa refugee camps imezingira mji mzima.
.hizo ndio unasema ndugu
acha kutoa povu,vuka boda njoo ule bata dar es salasm.maisha ya kuishi kwenye nyumba za kupanga hapo Nairobi ni stress sana hasa ikikaribia end month.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]This Dar is like a city that has been in slumber and suddenly woken up.....
Dar is growing
Nairobi is growing too
Good for the region. ....isn't it.
bata batani.
dar es salaam at night:
drinking,partying and faces of party goers.
hehehe. ..I was trying to raise their morale.Not really.
imerudi tena kulala. serikali iliwajengea tutower tuwili ili iwe ivo tu basi. not knowing there is more to a city than just towers. sasa serikali haitakuwa ikiwajengea towers kila siku. thats why aerial view ya dar inakaa daadab refugee camp
clap for yourselves. ....bata batani.
dar es salaam at night:
drinking,partying and faces of party goers.
Inasakitisha ka mji majengo marefu hakuna ni kuweka mataa tu na minara , pole lakini kwa ukweli mchunguBongo mna kibarua
Nairobi Kenya is the city of Africa
Do u even have traffic for the airbus in the first placeJaman swali langu kuhusu jomo kenya ta intl airport mbn cjibiwi?au ndo mna mina habar?
Aje sasa???? Kukua danganyikan ni trikide..kuna high chances ukue falaHehehe nani huyo anatamani kuwa Tanzanian......ni wewe Collo
Jikase kiume apo Nairobi ujenge nyumba yako acha kuishi kwenye dormitory ulizo rent mwanaume mzima na mke ni aibu , I know its painful maana unajua uwezi kujenga Nairobi IPA jitaidi kiumeHiyo Dar yenu tunaona tu nyumba zinakaa refugee camps imezingira mji mzima.
.hizo ndio unasema ndugu
Inasakitisha ka mji majengo marefu hakuna ni kuweka mataa tu na minara , pole lakini kwa ukweli mchungu