Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ungekua na akili ungejielewa kwa maana huna akili,Kama wewe ni mwanaharamu huna babako usilazimishe kila mtu awe Kama wewe , Obama anajielewa ndio maana katafuta babake licha ya kuwa alikua ameaga kitambo alifanya juhudi kujua chimbuko lake, ungekua na akili ungeelewa sio mitochondria inafanya identity ya mtoto Bali ni DNA ambayo itokanayo na chromosomes.
Sawa, najua kwamba ww ni mkenya upumbavu mmeumbiwa ngj nikukubalie, ok Obama ni mkenya kwahyo ulitaka kumaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
obama amesaidia nn kenya 😂😂😂😂 toka amejua chimbuko la baba yake kasaidia nn kenya na kwann asichukue raia awe mkenya kuna shida gani hapo????
 
obama amesaidia nn kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] toka amejua chimbuko la baba yake kasaidia nn kenya na kwann asichukue raia awe mkenya kuna shida gani hapo????
Kwhyo mtu kuw msukuma mpka agawe hela usukumani sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So, Obama is a Kenyan
 
Leo nimekudharau sn, yn umejiaibisha mno hehehehee af inaonekana ushapiga chang'aa mana una quote watu hovyo, uliona nmeongelea habari za mitochondria hapa, acha kuendekeza chang'aa utaanguka kifudifudi watu wale 0713 hyo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…