Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nikakuuliza ATCL imeanza operation lini na kq imeanza lini ni akili ndogo tu😂😂 air tanzabia imefufuliwa juzi tu ilikua haina ndege hata moja sasa unataka wanunue hapo hapo na kupata faida bila kurudisha uwekezaji hvi ww akili yako iko sawa kweli sijapata kuona mkenya kilaza wa size yako
 
Usijisumbue na hyo jamaa, alitaka kukwepa swali tu[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
akijibu munitag😂😂😂👇👇👇
 
hapa hutoki mpaka swali ujibu na uelewe😂😂😂👇👇👇👇
 
Yani nakwambia jamii forums huaga sometime naitumia km place ya kuchekea na kuondoa mawazo kichwani..sana sana nikukwaruzana na mamaz wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
unacheka au munaonesha vile ni wapuuzi kabisa na mumeishiwa kq ina miaka mingap leo inaendesha hasara miaka 8 mfululizo munatafuta mchawi wakat munamiliki ndege 3😂😂😂😂
 
huyo utahangaika bro hakuna kitu hapo kichwa kimejaa maji 😂😂😂😂
 
Ndugu hilo suala la accounts achana nalo kabisa, it seems u r a layman kwny hyo sector, so it's better ukaachana nayo tu cz huu uhalo unaoutema hapa ni wa kimataifa kabisa.
😂😂😂😂😂 yani hawa jamaa nimecheka sana mtu anajua kabisa ATCL imefufuliwa juzi na magufuli leo anauliza kwan ina miaka mingap😂😂😂 yani wanataka tufanane ushuzi kisa wao wamekufa sasa wanataka watupake mavi
 
mtu analetewa jumba la kifahari la mtoto wa bakhresa anasema sio tycoon haha akili au matope 😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana komora096 unakazi sana mzee
 
Hawana hamu na huu uzi huwa wanachungulia zen wanatoka [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wamebaki Wakenya wawili tu humu, wenzao wote wameshasoma alama za nyakati wamekimbia, wananusa hao wanakimbia [emoji3][emoji3]
 
hawa wamebaki kama wasindikizaji [emoji23][emoji23][emoji23]
Ss mwishoni mwa huu mwaka ndo tunamaliza hii battle tunaifunga mana tutakuwa tunajirudsha nyuma ku battle na mtu umemzd kila kitu, ilikuwa tumalize mapema ila covid-19 imetuchelewesha [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…