Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buda usijifanye hujaelewa. ingawa kama naona uko kwenye upande fulani hivi kuwa "ajiri watu wachache, airlines zipate faida kubwa na serikali ipate gawio la kutosha"
Hahaaaa!!!we ndio wawaza hayo, mi nilichokuuliza ni mapato tu kutokana na hyo industry..lkn bado nashangaa unarukaruka tu bila kuleta chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…