TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
wanaelekea ethiopia, sio tanzania [emoji1488]
majority own their land yani usifananishe maisha ya huku na huko πππ
Tuseme kati ya watu million sita dar million tatu kila mtu ana nyumba yake...majority own their land yani usifananishe maisha ya huku na huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua tu km kuna mtu atakuja reverse hyo picha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jf jamaa wambea, yani mi nimeweka km nilivyojua tu kuna mtu ataenda kupekua...
sio 3m over 5m wanamilio ardhi hvi ww hujiulizi kwann dar ina watu million 6 na km sq area 1500 while nai ina 5m ina 696 km sq ππππ akili kichwani mwakoTuseme kati ya watu million sita dar million tatu kila mtu ana nyumba yake...
Jamaa kujeni, ichoboy kulingana na data zake watu 3m wanamiliki nyumba dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!road quality ndio nn?LOL Nairobi yenyewe haifui dafu kwa Dodoma road quality.
Yani imepata ajali lkn bado inaonekana nzyri kuliko zile zenuChakavu is a word synomous to Kunyaland
Police helicopter crashes at Wilson airport, two injured
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
na iko right off kama hizi!
Kwhyo dar ina nyumba 5m[emoji1787][emoji1787]sio 3m over 5m wanamilio ardhi hvi ww hujiulizi kwann dar ina watu million 6 na km sq area 1500 while nai ina 5m ina 696 km sq [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili kichwani mwako
uzuri wa dar na tanzania kwa ujumla ardhi ni rahisi sana ndio maana mtu kumiliki ardhi na akajenga nyumba yake ni rahisi sana sio tu ardhi mpaka cement, sand, aggregates ni rahisi sana πππ sasa ikiwa robo ya kenya anamiliki kenyataa pekee na robo nyingine ni ya raila na watu wake alaf nusu iliobaki ndio mumeachiwa nyinyi huku kajamba nani munamiliki theluthi ya ardhi ππTuseme kati ya watu million sita dar million tatu kila mtu ana nyumba yake...
Jamaa kujeni, ichoboy kulingana na data zake watu 3m wanamiliki nyumba dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
na zaidi fanya calculationa ya 1500km sq alaf uone zinafika au laaπππ
uzuri wa dar na tanzania kwa ujumla ardhi ni rahisi sana ndio maana mtu kumiliki ardhi na akajenga nyumba yake ni rahisi sana sio tu ardhi mpaka cement, sand, aggregates ni rahisi sana πππ sasa ikiwa robo ya kenya anamiliki kenyataa pekee na robo nyingine ni ya raila na watu wake alaf nusu iliobaki ndio mumeachiwa nyinyi huku kajamba nani munamiliki theluthi ya ardhi ππ
na unajua kwann nimesema sand cement na aggregates ni rahisi sana tanzania kwasababu tanzania ndio inaongoza kwa production ya cement in east africaπππ
Na hizi?