Leta Area ya cbd zote mbili, Hamna haja ya maneno mengi
Uchafu wa kutosha heheheheheeee duuhhStill undisputed king in low rise sectorView attachment 1426804View attachment 1426805
Sent using Jamii Forums mobile app
Km WHO wanavyosema kw jianaba ya afrika nzima..ndo mujuwe sasa hvi mumekalia kuti kavu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naskia uhuru anaomba asilipe madeni huu mwaka
Cash deal..unajua maana ya hilo neno kwanza, au umekurupuka tutulinunua zibebe abiria tena cash deal vp kwenu zile ndege tatu chakavu munazomiliki ziko wapi[emoji16][emoji16][emoji16] loss ya mwaka huu ya kq itakua yakidunia
Uchumi wa dunia nzima umeathirika, we kumbe hujui lolotelabda uchumi wa kuhesabu mandazi ndio unajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
jibu swali zikwap zile ndege tatu munazomiliki πππππ hapana sijui hebu tujuze
anhaa kumbe umeelwa sasa somo ππ
Wewe jamaa unasumbuka sana.Undisputed king of high rise in AfricaView attachment 1426787View attachment 1426788View attachment 1426789View attachment 1426791View attachment 1426793
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe na mfaano wa hyo 40kmLOL 40 km kwa tinny and slummy Nairobi tayari upo kwenye County nyingine maporini[emoji28][emoji28][emoji28]
hio oyesterbay ni kubwa kuliko mombasa yoteπππππWewe jamaa unasumbuka sana.
Dar es salaam:-
1. Upanga East
2. Upanga west
3. Kariakoo
4. Oyster Bay
5. Masaki
6. Kijitonyama
7.Mbezi beach
8. Mokocheni
9. Kibada
Sasa naanza usikombie:-
40km from nairobi CBD ushaingia vijiji vya thika tayar au uongoππππ
Hzo tatu ni za aina gani..hebu tujuze na manunuzi yakejibu swali zikwap zile ndege tatu munazomiliki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana sijui hebu tujuze
40km kutoka cbd hapo unafikiria umeshakatiza uswazi ngapi40km from nairobi CBD ushaingia vijiji vya thika tayar au uongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
uhehehehe kwan Kq inamiliki ndege ngapi hebu leo tufungue macho nasubiri kwa hamuππππππ
ukwekwe ungelewa alichokisema hata usingefika hapa unakua ushapita msururu wa slum namna hiiπππππ maana muna slum mpaka naogopa